Ulimwengu na maajabu yake

Ulimwengu na maajabu yake

Ngosha255

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
430
Reaction score
512
Kumetokea tukio moja la kuusitabisha huku mkoani Geita katika mji mdogo wa Kasamwa,Mwanamke aliyekuwa amefariki kwa takiribani miaka sita ameonekana leo mida ya asubuhi nyumbani kwao alipokuwa akiishi hadi mauti yalipomkuta.

Mwanamke huyo ambaye amewashangaza wengi kwani tofauti na misukule alikuwa akionekana akiwa na akili timamu na nadhifu*
Alipoulizwa alifikaje maeneo hayo alisema akuja kwa basi.

Hata hivyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.
 
Mkuu, wewe umemuona kwa macho yako au za kusikia?
 
Kumetokea tukio moja la kuusitabisha huku mkoani Geita katika mji mdogo wa Kasamwa,
Mwanamke aliyekuwa amefariki kwa takiribani miaka sita ameonekana leo mida ya asubuhi nyumbani kwao alipokuwa akiishi hadi mauti yalipomkuta
Mwanamke huyo ambaye amewashangaza wengi kwani tofauti na misukule alikuwa akionekana akiwa na akili timamu na nadhifu*
Alipoulizwa alifikaje maeneo hayo alisema akuja kwa basi
Hata hivyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano zaidi

Bila shaka unafahamu kitu kinaitwa evidence please kama vile picha tunaomba akirudi polisi mpige picha yake, muulize jina lake na uliza alikuwa wapi kwa miaka yote hiyo na amekuja kwa basi toka wapi?? NK
 
Na pia atuelelze huko alikokuwa kukoje maana watu wengi tunaogopa sana kwenda huko.
 
Kumetokea tukio moja la kuusitabisha huku mkoani Geita katika mji mdogo wa Kasamwa,
Mwanamke aliyekuwa amefariki kwa takiribani miaka sita ameonekana leo mida ya asubuhi nyumbani kwao alipokuwa akiishi hadi mauti yalipomkuta
Mwanamke huyo ambaye amewashangaza wengi kwani tofauti na misukule alikuwa akionekana akiwa na akili timamu na nadhifu*
Alipoulizwa alifikaje maeneo hayo alisema akuja kwa basi
Hata hivyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano zaidi

uongo mwingine huu....
 
Hivi ndo vile viwanda vya jeikei?? maana watanzania kwa stori za kutungaa
 
Huyo alipotea hakufariki, otherwise walipewa maiti tofauti.
 
Sasa polisi wamemchukua kwa kosa gani mtu karejea nyumbani kwake?
 
Kuna baadhi ya mila ya makabila fulani, inapotokea mtu kupotea katika mazingira tatanishi,na ikapita kipndi kirefu bila kupata taarifa zake! Moja kwa moja huisi amefariki. Hivyo familia husika huandaa mazishi hata kama ya mgomba huupeleka kaburini na kuuzika ikiashiria kwamba ndugu yao hawako pamoja nae. Kwa majirani, ni vitu ambavyo mnatakiwa mvizingatie sana vinginevyo yule mtu ambae aliehisiwa kufa anapokuja kujitokeza huzua mtafaruku kama huo. Hivyo nakushauri mleta habari jaribu kulifuatilia hilo jambo kwa ukaribu zaidi hata ikiwezekana zungumza na mmoja wa wanafamilia juu ya huyo mtu kisha tupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom