KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,514
- 89,003
🙄 Akilewa atajisema tuAsubutuuuuu
🙄 Akilewa atajisema tuAsubutuuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe si wakati tunachangia mada humu kuna wengine wanatongozana, duh!!!
Inawezekana 🤣🙄 Akilewa atajisema tu
😂😂😂😂Embuuuu..kitu new🤣🤣😉😉 kakupooza umepoozeka.
Aririiiiiiii ririz wa ririz 💃😂😂😂😂Embuuuu..kitu new🤣🤣
Bora wewe umesema ukweli, wengine wanatudanganya tu na wadada wanasema JF ili kuwa please jamaa zao wa humu waonekane wapo peke yao😂nilimpata Tinder
nilikua nagonga kwa 'dau' hapo mwanzo, sasa ivi ni 'bure'
Hatuwa'plz. Ni vile tu wao ndiyo wame'WIN.... na wako wenyewe tu.bora wewe umesema ukweli,wengine wanatudanganya tu na wadada wanasema JF ili kuwa please jamaa zao wa humu waonekane wapo peke yao😂
Mmh, basi kama ni kweli hao jamaa wana bahati japo nadhani hawaishi kwa amani wakiona tunawabebisha wanawake wao humuHatuwa'plz. Ni vile tu wao ndiyo wame'WIN.... na wako wenyewe tu.
DepaySana mkuu.
Hapo nimeelewa mkuuNlimpatia badoo
Mkaanza kuliwazana mkuu, baadae mkazama kabisaAlikua single baada ya kuachana na aliyekua nae mwanzo.
😂😂😂😂Hawa ndio wazuri mnaenda kumeet first time kwa kuviziana kama haeleweki unatoka ndukiiii
😂😂😂😂nilimpata Tinder
nilikua nagonga kwa 'dau' hapo mwanzo, sasa ivi ni 'bure'
AiseeeRafiki yangu alimpa namba yangu
😂😂😂Tulikutana chini ya muembe ktk harakati zetu sijui tulikosea wapi kumbe bhana ktk ule muembe kulikuwa na nyuki wale aina ya nyigu!,wanaviuno mbonyeo Kama wana nyodonyodo!. Tulitegemea ule ndo ungekuwa mwanzo wa mapenzi yetu lkn ndo ulikuwa mwisho si kwa shughuli ile waliyotutendea nyigu wale!. Sikuwahi kumuona tena dada wa watu namimi sijui kwanini niliwategea kisogo changu wale nyigu! Maana walintranslate toka kuwa kisogo mpk kuwa usogo!!. Anyway nachokumbuka yeboyebo moja nilikuta imefika magotini nyengine niliiacha eneo la tukio.
JFTulipatana kwa loji baada ya safari ndefu ya kuchart kwa pm
Nishamuelewa mkuuNahisi anamaanisha app au mtandao wa Badoo
Sawasawa mkuuNilimpata kazini kwangu,alikuja kama mteja na ikatokes mm ndo nkamuhudumia. Next time nkachukua namba yake,nashukuru Mungu mpaka sasa nipo nae na it's 5 yrs now.