Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,469
- Thread starter
- #61
😂😂😂JamiiForums.
Nam'anyor kinyama.
😂😂😂JamiiForums.
Nam'anyor kinyama.
Sawa mkuuNikimpata nitasimulia,kwa sasa sina
Basi JF idumu mileleNilimpata jf
😂😂😂😂 messenger![]()
Sawa sawa mkuuNasoma comments...
😂😂😂😂Ukiwa na gari hutongozi, ni honi tu.
🙏😂😂Malizia story yako kwanza
Mkaanza na kuchatiWhatsup Group
😂😂😂watanoYupi maana nnao 5+
Ambaye nawaza kumuoa, alikuwa rafiki wa demu wa bro wangu. Akimsindikiza demu wa bro Basi tukaanza mazoea hapo yuko fm 1 hadi leo ni miaka
😂😂😂😂kwenye daladala alinitapikia ikabidi tushuke aninulie T-shirt nyingine ndio ikawa
Basi iendelee kudumu
Basi iendelee kudumu
😂😂😂😂😂Kumbe si wakati tunachangia mada humu kuna wengine wanatongozana, duh!!!
Sawa sawa mkuu
Safi mkuuNilimpata kwa kumuomba namba yake yeye mwenyewe
D nakusalimia😁JamiiForums.
Nam'anyor kinyama.
🤣🤣🤣 acha kuharibia wenzakobora wewe umesema ukweli,wengine wanatudanganya tu na wadada wanasema JF ili kuwa please jamaa zao wa humu waonekane wapo peke yao😂
Nasubiri na wewe jibu lako sijui utadanganya mtaani wakati tulikutana humu😁🤣🤣🤣 acha kuharibia wenzako