Eeh bado, nakunywa napumzika naendelea tena kunywa ila nikimaliza I promise nitakuja kusema ππ
Vipi wewe BAK mbona sijaona ukisema neno kuhusiana na mada husika
All the bestπππ ila tatizo lenu vijana mnachagua sana ohooππππππ BAK is still looking for the right candidate. ππ Haya nitasubiri nikusome ukimaliza huo mtori wako ndani ya pipa π€£π€£
All the bestπππ ila tatizo lenu vijana mnachagua sana ohooπ
Yaan huu mtori mpishi kajua kunikomesha na kumwaga chakula ni dhambi, wacha tu nipambane nao asa ntafanyajeπ€£π€£
Af hapo unakuta ana chura kama yote! Naskia mnapataga tabu sana kufanya maamuziππππLazima tuchague sana si umesikia ndoa zenye siku hizi nyingi ni magumashi matupu. Hawasemi ukweli ukishamuoa anakwambia mimi ni single Maza wa watoto wawili! π³π³π³ Yesuuuuuu!!!!
ππππππ
ππππsawa sawa mkuuClub
Basi hapa umetupa somo na wengine mkuuTuseme mambo hayo kama yana baraka za Maulana, basi hutokea kimasihara na kuishia kwenye mafanikio kimasihara pia, mtu asiamini wala kutegemea!
Ila mimi "mshirika wangu" nilimpata ki makame nguvu na ujanja mwingi mno.
Ukarusha ndoanoNilimpata mtaani akipita
Asante studioTuseme mambo hayo kama yana baraka za Maulana, basi hutokea kimasihara na kuishia kwenye mafanikio kimasihara pia, mtu asiamini wala kutegemea!
Ila mimi "mshirika wangu" nilimpata ki makame nguvu na ujanja mwingi mno.
Af hapo unakuta ana chura kama yote! Naskia mnapataga tabu sana kufanya maamuziππππ
Ukikosa ukuje nikupe connectionππ
WeweeππππππππππΎKumbe chura πΈπΈπΈ zinaua eh!? Hahahahaha mie hupenda kuziangalia tu zinavyotikisika. ππ
π π π π πHata sielewi nilijikuta tu nina mpenzi
π π π π