Elections 2010 Ulimi wamponza Yusuf Makamba

Makamba hakika hakuteleza ulimi wala nini, ni hulka yake na wala si uzee unaomsumbua. Anawakilisha wanaccm wengi ambao hawaoni tatizo kutambia wakazi wa Kipawa na gongolamboto hatuna shida na kelele za ndege kubwa.

Hawataki mdahalo unaohudhuriwa na watu wa kariakoo kwa kuwa ni watu wa kariakoo ambao hawaoni kama sera za ccm zimekuwa na kitu kipya zaidi ya kuwaneemesha wachache na familia zao ambao kwa kila hali wanajitahidi waendelee kushika madaraka
 
Wakati mwingine huwa siamini kama January na Mwamvita ni watoto wa huyu mzee mropokaji!!

Naamini maneno anayoyatamka mara nyingi hayafai hata kutamkwa na balozi wa nyumba 10 wa CCM. Its a disgrace to his party, his Chairman na watanzania wote kwa kuwa na mzee wa jinsi hii.

Nakumbuka kusoma kwenye blog ya January maandishi yafuatayo..."wakati mwingine ni bahati mbaya sana unajikuta unarithi maadui wa baba yako....watu wanakuangalia na kukuona kama mtu wa aina ya baba yako....." Hii statement to me inamaana kwamba January anajua fika mapungufu ya baba yake lakini ndo hivyo tena huwezi kuchagua baba wa kukuzaa!!
 
Kariakoo ndo inayoipa ushindi CC'EMU kila kipindi, Makada na wazee wengi wa sisisem hadi mbunge wa ILALA "ZUNGU" la Unga ambalo halijawai hata kuonge neno moja bungeni limechaguliwa na watu haohao wa Kariakoo.
 
huyo hasa ndio kiboko yenu

maana hamlali kama hamjamtaja

na komesha kwenu, maana huenda hata jimbo mspate mwaka huuu
 
CCM huwa haiwajari wateja wake ie wapiga kura.
Mramba alishawai sema tutakula ata Nyasi ndege ya raisi lazima inunuliwe.
Personally nshawazoe bse hatuwezi watia bakora kwa kutowapigia hasa baada ya kupewa kofia,khanga na fulana
 
CCM ni chama kilicho sheheni wasomi, madaktari, maprofesa na mainjinia kibao... lakini wote wamekubali kuongozwa na waropokaji, wapenda majungu na watu waliojaa kashfa zisizo kipimo!!

Ama kweli kama elimu za darasani tu ndizo zingelikuwa kigezo cha ukombozi... hakika Taifa hili lingekuwa miongoni mwa G20 tayari!!!
 
January is far better than his dad

Makamba nimefurahi yamekukuta maana wewe ni bingwa wa kubeba kauli za watu na kuzipigia filimbi, muosha huoshwa

LOL

LIKE FATHER LIKE SON..au unaposema January is far better unamaanisha "FAR BETTER IN TALKING CHEAP SHIT than his dad"?
 
Makamba, hajui alitendalo. Kwa maneno yake anatusaidia kuweka pembeni CCM. Makamba na asonge mbele kuropoa kwake ni mtaji katika kipindi hiki chakuelekea mabadiliko maana anazidi kuaminisha umma kwamba CCM haina mwelekeo na imekosa dira. Kukosa dira kw CCM ni zao laviongozi walio kosa dira.
 
LIKE FATHER LIKE SON..au unaposema January is far better unamaanisha "FAR BETTER IN TALKING CHEAP SHIT than his dad"?

You hit the nail on the head! Hana unafuu ila labda ameanza kutembea nje ya nchi mapema so amekuwa polished kidogo. Ila kama mshauri wa rais huko Ikulu 2005 - 2010 hajaweza kutuonyesha umahiri wake katika chochote zaidi ya kudaka projects za watu kama akina Sugu ya Malaria na wengine ambao wamekuwa waoga kwa sasa kuongea...
 
Makamba anadai apelekewe maswali, hlafu baadae yatafutiwe majibu ndo mdahalo uwepo, Haaa, huyu mzee kazeeka kweli. Nadhani CCM hawana sera
 
huyo ndiye baba january anataka waongee rostam,ahmed shabib,mo dewji,id azan,zungu,abood.kwa nini mungu asitupe idd amin wa tz tukawatimua hawa nyang"au wezi wa mali ya uma na vibaraka wao ndani ya ccm..chagua slaa ndiyo fimbo yao
 
Sidhani kuwa akienda kuzimu atapokelewa, kwani walioko huko wananafuuu kidogo, yeye sasa amemshinda hata shetani ambaye nae anashangaa maneno ya huyu mzee, ila niliskia kuwa alishamtimua ndg yake toka bumbuli aliyekuja kumsalimia hapa jijini hivyo nadhani labda kakosa radhi ya wazee kule kijijini bumbuli.

kwanza aache kutumia vitabu vitakatifu kudhalilisha binadamu wa MUNGU, HIVI kwa nini sisiemu wasipumzike kwanza jamani?

GOD bless Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…