Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,330
.....hili kombora lililetwa live jamvini asubuhi....mods weka vitu live tunaobabaisha mlo moja kwa siku .... lakini tunajengea nyumba kwa matofali ya dhahabu... tuone....
mmmh, this is more than serious, hiyo attachment ya hii email ipo wapi? Ingependeza kama tungeipata pia. Nimejaribu kugoogle waliotumiwa hiyo email, nimeogopa. Kama kweli watachukua hatua basi Kikwete yupo kwenye wakati mgumu sana. Akila "Liwalo na Liwe" walidhani haya mambo yangepita tu bila kuulizwa? Nafikiri huu ni wakati mzuri kwa watawala kujifunza kuwa na uongozi wenye utashi kuliko mabavu.Ni Uchwara Kweli. Angalia hii. Mndhani watu watakuwa wajinga hadi lini? Huu waraka umesambaa zaidi ya mnavyodhania nyie CCM. sisi wananchi tumechoka
Subject: KIKWETE MUST BE TAKEN TO THE HAGUE
Hon: Bercow;
President Kikwete of Tanzania receives lot of the British citizens Tax payers money. It is inconceivable for him to ruthlessly kill innocent civilians, journalists, activists and even arrest innocent children and the international community is keeping quite about it.
The British people need the money to take care of their domestic issues and problems. Kikwete is one of the leaders to STOP from entering into the United Kingdom soil along with his family and cronies. We hope something can be done to deal with this new dictator. He needs to go to The Hague
Kindly review the attached report and decide within your inner self if this is a human being or an animal. You barred Mugabe from Britain soil because of his economic and human right abuses. Kikwete must be barred because of his oppression.....If you don't take action against Kikwete, then will have no option but launch protest and hunger strike against British government for supporting this man.
Thanks
##############,
Tanzania Human Right Activists
Cc. UNHCHR
Cc: All Major UK Newspapers
Cc. Amnesty International
Msaada jamani:Hivi shirika la kutetea haki za binaadam duniani ni UNHCR au Amnesty international
'Hadithi za Buricheka na Mke wake Elizabeti.
Hivi wewe kila post lazima umtaje huyo ritz
@Jakubumba, achana na hao vipofu...kipofu kumwongoza kipofu, maajabu ya dunia!
View attachment 79080
Hadithi za Buricheka na Mke wake Elizabeti.
Ni Uchwara Kweli. Angalia hii. Mndhani watu watakuwa wajinga hadi lini? Huu waraka umesambaa zaidi ya mnavyodhania nyie CCM. sisi wananchi tumechoka
----- Forwarded Message -----
From: ************** <************@mins.co.uk>
To: "patersona@parliament.uk" <patersona@parliament.uk>; "foraffcom@parliament.uk" <foraffcom@parliament.uk>; "international@guardian.co.uk" <international@guardian.co.uk>; "national@guardian.co.uk" <national@guardian.co.uk>; "exclusive@the-sun.co.uk" <exclusive@the-sun.co.uk>; "news@dailymail.co.uk" <news@dailymail.co.uk>; "news@dailystar.co.uk" <news@dailystar.co.uk>; "main.news@ft.com" <main.news@ft.com>; "FAC@parliament.uk" <FAC@parliament.uk>; "nationalinstitutions@ohchr.org" <nationalinstitutions@ohchr.org>; "Press-Info@ohchr.org" <Press-Info@ohchr.org>; "civilsociety@ohchr.org" <civilsociety@ohchr.org>; "hreteam@amnesty.org" <hreteam@amnesty.org>
Sent: Friday, January 11, 2013 9:10 PM
Subject: KIKWETE MUST BE TAKEN TO THE HAGUE
Hon: Bercow;
President Kikwete of Tanzania receives lot of the British citizens Tax payers money. It is inconceivable for him to ruthlessly kill innocent civilians, journalists, activists and even arrest innocent children and the international community is keeping quite about it.
The British people need the money to take care of their domestic issues and problems. Kikwete is one of the leaders to STOP from entering into the United Kingdom soil along with his family and cronies. We hope something can be done to deal with this new dictator. He needs to go to The Hague
Kindly review the attached report and decide within your inner self if this is a human being or an animal. You barred Mugabe from Britain soil because of his economic and human right abuses. Kikwete must be barred because of his oppression.....If you don't take action against Kikwete, then will have no option but launch protest and hunger strike against British government for supporting this man.
Thanks
##############,
Tanzania Human Right Activists
Cc. UNHCHR
Cc: All Major UK Newspapers
Cc. Amnesty International
Hiyo report ni kweli IPO amnesty international. Na kama mjuavyo state department ya US=UN ,so they have the report also.
Kitu ninachokiona hapo ni kwamba hakutakua na responsive reactions Bali AI watatoa report kuikashfu Tanzania only(due to sovereignity power as a state).
Pili,US kama nchi ya vyama vingi Mara zote chama kinachoongoza dola hukandamiza wanaompinga kwamaana hiyo wanajua mantiki ya kutawala na misingi isiyoonekana na kutakiwa kwa raised.Mr.mzuri mwaka 2008 US baada ya economic strike iliamua kuviwezesha viwanda vyama maharishi lakini kilichotokea ni kwamba viwanda vyote vilivyokua vinasapot politics za Republican havikuonja asali(fatilia kuna kesi zinaendelea).
Kwahiyo,Obama or ki-moon administration can do nothing to JK administration. Hiyo ni misingi ya utawala mbovu haijalishi ni ubebari au ujamaa,ni siasa za kupingana.
Msaada jamani:Hivi shirika la kutetea haki za binaadam duniani ni UNHCR au Amnesty international
Tokea mwanzo yalipotokea hayo matukio yalipotokea Ulimboka n'a Mwangosi nilijua ni lazima mkulu mwenyewe atakuwa anahusika kikamilifu sababu zipo nyingi Lakini nitazitajà chachè 1Gazeti la Mwanahalisi ambalo lilifanya kazî nzuri ya kiuvhunguzi lilifungiwà kwa sababu zisizo n'a msingi 2. Yule mkenya chizî wa Kova pamoja n'a kuomba gwaride la utmbulisho ili Ulimboka amtambue mtekaji wake polisi inagoma kulifanya hilo 3.Kuhusù suala la Mwangosi pamoja n'a JK kuwa mwepesi sana wa kutuma salaam za rambirambi kwa makundi mbalimbali ya kijamii Lakini alishindwà kabisa kutuma salaam za rambirambi kwa msiba wa Mwangosi 4.Pamoja n'a ushahifi wa wazi kabisa wa picha kuonyesha kuwa RPC Kamuhanda n'a maaskari wake zaidi ya 6 walihusika n'a mauajî ya Mwangosi ni askarî mmoja tu aliyepandishwa kizmbanî 5.Pamujà n'a ushahidi wa wazî wa madudu yaliyofanywa n'a akina IGP Mwema RPC Kamuhanda n'a wengiineo hadi leo JK ameshindwa kuwafukuza kazi jambi ambalo ni ushahidi tosha kuwa kilà kilichokuwà kinafanyika kilikuwà n'a baraka zake yeyè mwenyewe mkulû!!!!!
mmmh, this is more than serious, hiyo attachment ya hii email ipo wapi? Ingependeza kama tungeipata pia. Nimejaribu kugoogle waliotumiwa hiyo email, nimeogopa. Kama kweli watachukua hatua basi Kikwete yupo kwenye wakati mgumu sana. Akila "Liwalo na Liwe" walidhani haya mambo yangepita tu bila kuulizwa? Nafikiri huu ni wakati mzuri kwa watawala kujifunza kuwa na uongozi wenye utashi kuliko mabavu.
This report relates to what Mzee Mwanakijiji brought here at JamiiForums yesterday.
What would it be if I term this thread as a COPY of Mzee Mwanakijiji's thread?