frank cain
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 470
- 69
kwani wanaweza kuletewa noma?
united nation high commission for refugee.kwani kirefu cha UNHCR ni nini?
Naona wewe bado umelala na wewe ukiamka utaanza kumtetea Dr Slaa. Nasikia safari hii mtapewa msaada na Nato.
Msaada jamani:Hivi shirika la kutetea haki za binaadam duniani ni UNHCR au Amnesty international
Wapelekwe kwasababu ya watu wawili tu? Ambao nyie Chadema ni wahusika wakubwa kwenye matukio yote; viongozi wako waandamizi wana damu za wahusika @ slaa damu ya Mwangosi anayo mikononi mwake. IGP Mwema ni mtu wa amani ndiyo sababu alimpigia simu slaa asifanye mkutano ule ila yeye slaa anachojali yeye ni propaganda zake matokeo yake Mwangosi hatunaye tena, Mwema hapo utamlaumu vipi? Au JK yanamuhusu nini muaji ni slaaItakuwa ni neema kubwa JK na Mwema wakipelekwa The Hague
United Nations High Commission for Refugeeskwani kirefu cha UNHCR ni nini?