Ulimboka, Mwangosi wamponza Kikwete UN

Ulimboka, Mwangosi wamponza Kikwete UN

Daima limeharibika zaidi baada ya absalom kibanda kuondoka
 
Msaada jamani:Hivi shirika la kutetea haki za binaadam duniani ni UNHCR au Amnesty international
nazani kuna mchanganyiko apa,jibu haliwezi kuwa UNHCR, itakuwa Amnest international, Human right watch etc
 
Naona wewe bado umelala na wewe ukiamka utaanza kumtetea Dr Slaa. Nasikia safari hii mtapewa msaada na Nato.

Huwezi kuishi bila kumuwaza Dr Slaa? CCM mnajipa kazi sana!
 
Isango ni mganga njaa, anaokoteza habari za kusikia aka umbea aka hear say samahani kwa spelling anatuletea hapa na kujifanya ni uchunguzi

Tanzania inawajinga wengi na hawajifahamu!! Ni upuuzi gani ulioandika hapa? Kwa akili yako ndogo unapongeza kuuwawa kwa Mtanzania bila sababu na askari TANAPA waliochukua sheria mkononi? Kazi ya mahakama ni nini? Ama kweli stupidity has no price tag
 
Mkuu PhD

Inaonekana binafsi huna uhakika na hadhi ya huo msitu but sadly umekimbilia kulaumu. Nadhani ulitakiwa kwanza kufanya utafiti binafsi kabla ya kuja hapa jamvini. Hapa umeongeza utata zaidi wa either mwandishi ni mkweli ama wewe ndiyo mkweli, tutajuaje?
 
Last edited by a moderator:
2011 January: CHADEMA [main opposition party] lead demonstration in Arusha conflicts with police
2011 February: Explosions in Gongo La Mboto
2011 July: [street vendors] clash with police in Mwanza
2011 September: MV Spicelander sinks between Zanzibar and Pemba
2011 December: Dar es Salaam floods
2012 February: Police killings in Songea
2012 April: Land issues and bi-elections in Arumeru
2012 May: Riots in Zanzibar related to UAMSHO [separatist group in Zanzibar]
2012 June: Doctors' strike (back in February and onwards) and the abduction of Dr Ulimboka.
2012 July: A ferry on its way from Dar es Salaam to Zanzibar sinks.
2012 July: Riots in Zanzibar related to UAMSHO, and mourning of the dead from the ferry accident.
​
Police brutality in Tanzania. Photo source: wavuti.com, used with permission.

Most recently, on September 2, 2012, Tanzanian journalist Daudi Mwangosi was killed by a tear gas canister in Nyololo Village in Mufindi South (Iringa Region) in Southern Tanzania. The Citizen was amongst the first of the Tanzanian dailies to report about the incident, describing how police used tear gas to disperse a group of CHADEMA (opposition party) supporters:
Mr Mwangosi becomes the second person to be killed in conflicts pitting the Police Force and the opposition party in the space of two weeks. On August 27, one Ally Zona was killed in Morogoro as police dispersed Chadema supporters who were gearing up for a demonstrations.
​
Pictures of the incident in Nyololo Village quickly circulated on social media sites. The blog Wawuti.com has collected a comprehensive selection (see also photo above). [Please, be warned that some of the photos are very graphic, depicting the remains of the deceased journalist whose body was blown to pieces by the tear gas canister.]
The incident has been covered intensively and many different newspapers, in Kiswahili and English as well as international, have commented extensively. Social media users have expressed anger and shock over what appears to be a senseless and very violent killing. People have expressed shock about both the killing and the police brutality.
Daraja blog was quick to produce a factual list of ‘key sources', including links to Tanzania's Media Council's statement and the World Association of Press Council's statement, but Daraja also did a thorough analysis - stating in the headline that “a line has been crossed”.
First, an overview of what happened:
They tell us that Mwangosi was in Nyololo together with several other journalists to report on Chadema opening an office in the village, in defiance of police orders against political activities during the census period. There was a heavy police presence in the village. Another journalist, Godfrey Mushi of Nipashe, was apprehended by the police, and Mwangosi went to find out why. A group of police officers then turned on Mwangosi, beating him badly for several minutes.
The reports tell us that Regional Police Commander, Michael Kamuhanda, was nearby in a stationary vehicle, and was informed that the man the police were beating was a journalist. However, he took no steps to stop this, and a few minutes later a tear gas cannister was shot into Mwangosi's stomach from point blank range. Mwangosi died instantly, and a police officer was injured.
​
Journalists demonstrate in Dar es Salaam on September 10 against the police violence which caused Daudi Mwangosi's death. Photo by Gaure Mdee, used by permission.

Daraja continues:
There is no suggestion that Daud was doing anything improper. He was there as a journalist, with a legitimate right to be there and to report on Chadema's activities and the police's response. He was not there as a Chadema supporter at a rally, so he was not even breaching the police ban on political activities during the census period. (Though even if a Chadema activist who had been killed in this way, the police's actions would still have been disproportionate and wrong.)
​
 
january 27 2001 mauaji ya watu 45 na zaid hakuna hata mwanaharakat mmoja aliyelalamika. Kweli hawa ni wanaharakat
 
Kwa hiyo wewe upo JF kupangia watu cha kuandika? Acha kujidhalilisha unajipa majumu ya Mod!

Hacha kupenda umaarufu wa kutajwa tajwa na members wengine kwa pumba unazoziandika
 
Hao wanaharakati uchwara hawana mpya, njaa zinawasumbua, kwa hiyo wamegeuza matukio kuwa mitaji yao

Unayekuja hapa kushambulia wanaharakati na Wanasiasa, hebu jiulize, Waandishi wa habari wanalipwa na nani kwa kuandika suala la Mwangosi, au Dr. Ulimboka? Unadhanani wanalipwa na nani kuandika wananchi waliouawa kikatili kwa sababu zisizojulikana? Unadhani Waandishi wa habari wanalipwa nini kuandika kuwa yule Mahabusu Joshua Mlundi amegoma kula, anataka msaada wa kisheria, au Ubalozi wake ufike kumuona?
 
Kwa hiyo wafuasi wa Chadema mnaamini UN ndiyo wataleta mabadiliko Tanzania.

Mkuu,
UN gani hiyo wanayotaka ilete mabadiliko. Hayo mabadiliko hayawezi kuletwa na UN ya Ban Ki-moon na Balozi wa Marekani nchini Tanzania. Waambie wanapeleka kesi ya kondoo kwa fisi.

Kwani M4C ya Mh. Godbless Lema imeshindwa kuleta haya mabadiliko.
 
Tusubiri tuone maana hawa jamaa wanauma na kupulizia kama panya ukiona wakauma mmoja kwa mmoja jua ndio kwa heri ccm
 
kwa vile anatakiwa Josephat Isango atoe ufafanuzi, basi sisi wengine tunapita tu..

UFAFANUZI: Habari nimeandika ya kuuawa kwa Mwananchi, suala la Uhai wa Mtanzania, au Mwanadamu yeyote halina itikadi ya kisiasa, Uhai hauna kadi. Katika habari iliyoandikwa hakuna popote lilipotajwa neno "CCM", tumeandika mtiririko ulivyo, jinsi mtu alivyokamatwa, alivyoenda nyumbani kwake akiwa mzima, akapelekwa kituo cha polisi kwa kipigo cha Maaskari wa TANAPA, kutokana na kipigo hicho ameugua na amefariki. Ndugu zake wamehoji, taarifa tumepata. Polisi inawashikilia Askari watatu wa TANAPA kwa suala hilo. Hojya ya kisiasa ipo wapi? Hoja ya kuganga njaa ipo wapi? Aliyeuawa alikuwa na haki yakuishi, kama wewe unayehoji kwanini tumeandika kuwa ameuawa? Lakini pia amefia chini ya mamlaka iliyopaswa kumlinda ili imfikishe mahakamani, sheria ichukue mkondo wake. Hoja zingine kila mtu anaweza kuweka kulingana na matashi yake. Ila nasisitiza suala la Uhai wa Mwanadamu yeyote sio suala la kisiasa, halina kadi, sio suala la dini. Ubinadamu kwanza, dini, Chama cha siasa na mengine baadaye.
 
Mimi nina wasiwasi na haya majamaa, maana wanautumia udhaifu wa J K kuweza kuinunua tz, karibia robo ya utajiri wa tz umeshatekwa!
 
Back
Top Bottom