Miongoni mwa mambo ya kinyama ambayo yatanifanya nikumbuke utawala wa Jk ni KUTEKWA KUTESWA NA KUTUPWA MSITUNI KWA DR ULIMBOKA HALAFU GAZETI LILILOFANYA KAZI NZURI YA KUFICHUA NANI KAMTEKA NA KUTESA KUFUNGIWA BADALA YA KUWA CHANZO CHA KUSAIDIA KUWATIA HATIANI WALIO TENDA UNYAMA HUO.
Na amini kwa kuwa hakuna mtanzania zaidi ya mtanzani mwenzake na hivyo kuamua nani aishi au auwawe mwenyezi Mungu atalipiza hapa hapa duniani, kama sio leo basi kitambo kijacho maana yeye ndio hutufanya tuione leo na ikimpendeza hutuwezesha kuiona kesho na kesho kutwa.
Damu ya DR Ulimboka ina mlilia aliye ifanya itoke wakati mwenyezi Mungu aliiweka kwenye pande lake la nyama kwa mapenzi makubwa bila kuwekea mwili wake matobo au mifereji ya kuitiririsha chini.
Msaada jamani:Hivi shirika la kutetea haki za binaadam duniani ni UNHCR au Amnesty international
UNHRC (United Nations Human Rights Council) http://www.ohchr.org/EN/HRBodies/HRC/Pages/HRCIndex.aspxNi Amnesty International.
Kama ni kweli sasa mambo yatakuwa mazuri lakini kwa vile marekani ndio walionunua Richmond hapo hakuna kitu na uranium ya kondoa ni ya kwao hawawezi kusema kitu.Meno ya umbwa hayaumani.
Mkuu chama,
Naona sarakasi zingine zimeanza huku makandanda wanadanganya ovyo.
Ngoja nikwambie kitu, maneno yenu ni kama mnajifurahisha. Kwa taarifa yenu watu tumeelimika siku hizi mtanzania wa leo 2013 sio wa 19XX. Nyie endeleeni kufurahisha mabw..a zenu ila moto ndio huo unakuja.Mkuu Ritz
Jamaa yangu anahangaika sana; Dr. Ulimboka walitaka kumtumia kwa propaganda zao; tangu awatolee nje amekuwa mwiba kwao; mkuu nakuhahakishia Chadema wanahusika 100% na kesi ya Ulimboka kama ni hoja ya kudai eti usalama wa taifa wanahusika mbona wapo wastaafu wengi wa usalama wa taifa wapo Chadema; au hao hawawaoni?
Chama
Gongo la mboto DSM
well well well!!!ooh boy!...
Ngoja nikwambie kitu, maneno yenu ni kama mnajifurahisha. Kwa taarifa yenu watu tumeelimika siku hizi mtanzania wa leo 2013 sio wa 19XX. Nyie endeleeni kufurahisha mabw..a zenu ila moto ndio huo unakuja.
if its true......it'll sounds like they need something from Tz so they are planning how to take it