Ulimaji wa vitunguu

Vinginevyo utahifadhi 30 bags mwezi November na ikifika February utakuwa na less than 20 bags vingine utakuwa umetupa
So it's better nisubiri January....? Au
 
Thanks bro....
Je upi ni muda sahihi wa kulima vitunguu...?
 
Thanks brother
 

Kiongozi asante kwa shule nzuri, mie naangalia uwezekano wa kulima shinyanga, vipi kwa upande wakoh hasa hali ya hewa.
 
Kiongozi asante kwa shule nzuri, mie naangalia uwezekano wa kulima shinyanga, vipi kwa upande wakoh hasa hali ya hewa.
Kama unategemea mvua unasubiri msimu, hila kama unafanya umwagiliaji ni wewe tu kuangalia soko hili upishane na wanaotegemea mvua. Pindi wao wanaingia sokoni wewe ndio upo shamba, wao wakija shamba wewe unaingia sokoni.
 
#Zec88 cha msingi unatakiwa kufahamu kuwa wakati wa mvua unahitaji kujipanga kw dawa pia baada ya kuvuna itasumbua sana kwenye ukaushaji
 
Mbegu gani inahifadhika muda mrefu sana?, niko babati nataka lima kwa pump, ntanunua miche badala ya kuandaa vitalu, je nitafanikiwa? Kulima maeneo ya huku wakati huu?
 
More hints plz,am looking for the best seeds but no idea which one is the best n where to get them(any company/trader/supplier in mpwapa)?, passed there last night
 
#Jamiix kwa opv varieties ni red creole vinginevyo check with high breed seeds like jambar lkn sijawahi Lima hiyo variety
 
Lkn pia kama utanunua miche unatakiwa kuwa na huyo mzalishaji wa hiyo miche
 
Kwa mfano mie naishi kilosa morogoro kipindi gani kizuri kulima vitunguu?
 
More hints plz,am looking for the best seeds but no idea which one is the best n where to get them(any company/trader/supplier in mpwapa)?, passed there last night
Gone to lumuma? there you will be answered everything coz they are giant producers of all varieties and they uses to store their harvest at times when there is a drop in market price. This simply mean they know the best seed that are durable and of course those seeds are being produced by themselves.
 
Ok nashkuru sanaa wakubwa kwa michango yenu....Je vipi kuhusu soko..? Vp unaweza pata soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…