Thanks bro....Unaweza kulima tu mkuu hakuna tatizo, hila kama ulivyoshauriwa hapo juu ni ushauri mzuri.......kuhusu bei vikiwa vingi sokoni ujiandae kuuz 80,000 kwa gunia na sio 230,000 kama vikiwa kwenye muda wake mzuri.
But kama utalima ekari kuanzia 3 na ukavilima kibiashara kama inavyoshauriwa basi hata ukiuza kwa bei ya hasara niliyoitaja hapo juu ujue kwako bado itakua faida ndio uzuri wa kitunguu.
Pia kuwa makini na madawa na mbolea maana huu msimu wa baridi magonjwa huwa hayachezi mbali.
NOTE:
Kama unaweza kuwa na access na watu wa sudan kule gunia huwa likifika tu starting price ni $320 hapo hakuna bargaining ni unaramba chako unaondoka.
Thanks brotherGo on! go on! just proceed if you are well prepared with all the required needs.
Dont look on the constraints rather be watch to them with an eagle eyes!
Wish you all the successes and in case you come across with anything (down falls) please keep me posted!
NB. If you need a back load of onion seeds NENDA LUMUMA(MPWAPWA) wanazo mbegu nzuri sana that will meet your desire interms of quality, durability(shelf life), cheap and am sure you gonna have a time to ask and witness some tycoon people who are fully embended into this business.
Unaweza kulima tu mkuu hakuna tatizo, hila kama ulivyoshauriwa hapo juu ni ushauri mzuri.......kuhusu bei vikiwa vingi sokoni ujiandae kuuz 80,000 kwa gunia na sio 230,000 kama vikiwa kwenye muda wake mzuri.
But kama utalima ekari kuanzia 3 na ukavilima kibiashara kama inavyoshauriwa basi hata ukiuza kwa bei ya hasara niliyoitaja hapo juu ujue kwako bado itakua faida ndio uzuri wa kitunguu.
Pia kuwa makini na madawa na mbolea maana huu msimu wa baridi magonjwa huwa hayachezi mbali.
NOTE:
Kama unaweza kuwa na access na watu wa sudan kule gunia huwa likifika tu starting price ni $320 hapo hakuna bargaining ni unaramba chako unaondoka.
Kama unategemea mvua unasubiri msimu, hila kama unafanya umwagiliaji ni wewe tu kuangalia soko hili upishane na wanaotegemea mvua. Pindi wao wanaingia sokoni wewe ndio upo shamba, wao wakija shamba wewe unaingia sokoni.Kiongozi asante kwa shule nzuri, mie naangalia uwezekano wa kulima shinyanga, vipi kwa upande wakoh hasa hali ya hewa.
Anytime depends na soko unaloliwinda wewe ....but kwa wenye soko la nje huwa wanalima throughoutThanks bro....
Je upi ni muda sahihi wa kulima vitunguu...?
Mbegu gani inahifadhika muda mrefu sana?, niko babati nataka lima kwa pump, ntanunua miche badala ya kuandaa vitalu, je nitafanikiwa? Kulima maeneo ya huku wakati huu?Kwa morogoro mwezi July unaweza panda tuu cha msingi kuhusu mvua hakikisha maji hayata tuama pia usipande kwenye mkondo wa maji kozi ikitokea ikanyesha vitazongwa. For emergency you will have to prepare for fungicides hasa botrytis na insecticides koz nikipondi ambacho wadudu huwa wengi.
Lkn tambua ukipanda mwezi huu (July) vitatoka October au Novemba hiki kipindi Vitunguu huwa vingi sana kiasi kwamba bei huwa chini vinginevyo hifadhi uje kuuza mwezi February hadi June.
Changamoto Vitunguu mbegu nyingi huweza kuhifadhika kwa muda usio zidi miezi mi3 mfano Red Bombay inachukua muda hata miezi miwili haifiki
More hints plz,am looking for the best seeds but no idea which one is the best n where to get them(any company/trader/supplier in mpwapa)?, passed there last nightGo on! go on! just proceed if you are well prepared with all the required needs.
Dont look on the constraints rather be watch to them with an eagle eyes!
Wish you all the successes and in case you come across with anything (down falls) please keep me posted!
NB. If you need a back load of onion seeds NENDA LUMUMA(MPWAPWA) wanazo mbegu nzuri sana that will meet your desire interms of quality, durability(shelf life), cheap and am sure you gonna have a time to ask and witness some tycoon people who are fully embended into this business.
Kua nae wakati wote wa kitunguu ama wakati wa upandaji!?Lkn pia kama utanunua miche unatakiwa kuwa na huyo mzalishaji wa hiyo miche
siwezi pata shamba huko moror dar sio ishu.........mm pia na mpango wa kulima kitunguu maji mwezi wa 8.. Luhaa Morogoro.
Gone to lumuma? there you will be answered everything coz they are giant producers of all varieties and they uses to store their harvest at times when there is a drop in market price. This simply mean they know the best seed that are durable and of course those seeds are being produced by themselves.More hints plz,am looking for the best seeds but no idea which one is the best n where to get them(any company/trader/supplier in mpwapa)?, passed there last night