ha ha ha!
nimesoma comment mingi naona watu wanaelezea sijui kisses sijui nini WAPI BANA WEE!hamnaga kipya sana ''cha kumshangaza partner wako'' kwenye sex ya kawaida hii....!kiasi cha kusema ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE....?hell to the NO!
lazima kuna mchezo usio rasmi ulifanyika hapo....!
SAY NO TO TIGO PEOPLE!
CIAO
Bby pls dont take things so personal, nilikuwa kwenye kitchen party nikasikia kungwi kasema nilivutiwa na maneno yake nikaona nije nijaribu tu kwako, si unajua uko peke yako mume wangu mpenzi, akizidi kuniuliza naanza kulia kizushi, hivi unanionaje mpenzi mpaka unaniuliza maswali kama hayo........hii imekaaje babuOrayt...ulikuwa unajifunzia wapi? nani alikuwa mwalimu wako? Ilikuwa theory au practical au vyotevyote?
We Gaga acha kudanganya wenzio LOL
Hapo bold sio mimi mpaka mvi zinitoke kila siku mambo mapya tu, na kujifunza mbinu mpya... sasa ndio akiniuliza lazima nije chini na pua kubana huku namwelekeza bby wngKubana pua tu...! Eeh...! Umesahau uwezekano wa mambo kuwa mabaya pale DSE siku hiyo! Wakati mwingine wanaume tuna mengi sana rohoni na akilini.... Hey! I'm just kidding..... Basically I like it. Ni vizuri mke kujua kuwa anapaswa kuact kike ili kuwa romantic. Kuna wengine wenu Gaga; akishahalalishwa tu anachojua ni wapi Mr. kakosea ni wapi anatakiwa kwenda nk. hajui hata kuwa romantic tena. Ukija na mapya watu wa namna hii ndiyo wa kwanza kununa na kuhoji kama siku hizi unao wanawake wengine..eti mambo ya leo umeyaona wapi? Shauri zao! Wakitubore tu sisi haooooo! tunawatafuta Unyagomates wa Gaga au siyo Darling?
Uuchune tu babu ili uendelee kufaidi, ukiwa unaulizauliza mpenzi wako atakushangaa sana, na utandawazi wote huu, na mavitabu yote haya bado tu siku hizi tunaulizana tumepata wapi maujuzi????
Hahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtuBby pls dont take things so personal, nilikuwa kwenye kitchen party nikasikia kungwi kasema nilivutiwa na maneno yake nikaona nije nijaribu tu kwako, si unajua uko peke yako mume wangu mpenzi, akizidi kuniuliza naanza kulia kizushi, hivi unanionaje mpenzi mpaka unaniuliza maswali kama hayo........hii imekaaje babu
nimekusoma mate.... kuna kawimbo ka akudo kanasema
baridii eeeehhh baridi eeeh
baridiiii eeehh na mapendezheeee
Ujumbe wake nzito sana aisee, yawezekana huyo mamsapu alipigwa 'cut-out' ya three phase mkuu wangu
Anyway, ngoja tupate shule kwanza
Ndi...ndi...ndi... ndio mpenz... kwani si mtandao wa bei rahisi mume wangu... au tuhamie airtel? hapo lazima acheke basi atattulia tuHahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtu
We mjukuu unaweza kuwa kajambazi kazuri............
Orayt....kwahiyo huko kitchen party ndo mnafundishwa na huu mchezo ulonifanyia? Yani mnafundishwa mtupe tiGo siyo?..............Naomba jibu Gaga.....ndo mnafundishwa huko?
Si babu huyo mchokoziMnadiskasi mambo ya vyumbani sebleni kwanini?!
Hahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtu
We mjukuu unaweza kuwa kajambazi kazuri............
Orayt....kwahiyo huko kitchen party ndo mnafundishwa na huu mchezo ulonifanyia? Yani mnafundishwa mtupe tiGo siyo?..............Naomba jibu Gaga.....ndo mnafundishwa huko?
Ana hasara pale anapotoa huduma na mjamaa kuingia mitini bila malipoAma kweli Changudoa, hapati hasara..........
mh na wewe hujui babu uzee unamsumbua? kabadilika katikati ya thread na mimi nikampeleka anakotaka......kwa jinsi ninavyoendelea kuisoma sredi hii, najihisi nazidi kupata dhambi.
Hivi kumbe mwaongelea Tigo?, ...!
Dada hapati hasara bana........sema inakuwa kapata in kind.Ana hasara pale anapotoa huduma na mjamaa kuingia mitini bila malipo
ayiiiiiiiiiiii.... kichupa changu hommieEwaaaa.... hapa tunapata kaujuzi kwanza then ndo tunatoa maeksipiriensi ya enzi zetu shule ya msingi Mwenge, Mlimani na Mapambano
Jukwaa la wakubwa hiloooooooooooooo... Chauro mdogo wangu una ufunguo wa kuingia huko kweli?? Babu naona kwaresma iliondoka hadi na filters za grandma!!