Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Mbu usije kucheza na mimi, una mikono michafu.
 
Reactions: Mbu
Kama vile mnaanza kuelewana vile!!! sa sijui itakuwa "Babu Mkwe"?
Hebu sema SUU!

Mimi nilikua altareni......
Nitakusemea.........!

................uko na kisahani chenye pete zenye baraka au?
Am watching!

Hebu njoo pm kuna zawadi zako.....(hapa mgomvi wangu ni babu au umbu?)
Mgomvi wako unamjua, na unajua lazima ushindwe

lakini kweli aisee.... kale kadodoma kakiondoka ndio maisha yanakua nehi che!!! babu mung'unya tu vilivyobaki:A S 114:
Inauma sana asee...... inakera sana!
 
Hahahaa hayo macho babu ntayatia pilipili sasa maana naona umezidi unoko!! (Hapa nawatengenezea njia wadogo zangu mimi ambao ni wajukuu zako waliobaki!!)

We huna ujanja, utarudishwa nyumbani kwa nguvu..........nawasasiliana na NATO
 
Nilikuwepo tu mpenzi wangu ila leo nimeamua nikutolee uvivu sweetie, chukua yote maswali badae
 
Hahahaa hayo macho babu ntayatia pilipili sasa maana naona umezidi unoko!! (Hapa nawatengenezea njia wadogo zangu mimi ambao ni wajukuu zako waliobaki!!)

He bidada, kumbe we ni kontrakta wa barabara??? sasa mbona hukusema?? magufuli anatafuta kweli loko kontraktas awape miradi ya barabara na njia............:wof:
 
He bidada, kumbe we ni kontrakta wa barabara??? sasa mbona hukusema?? magufuli anatafuta kweli loko kontraktas awape miradi ya barabara na njia............:wof:
Mate.......... achana na mambo ya barabara, msome huyu binti hapa chini... (binti kwa mujibu wa avatar yake)

Nilikuwepo tu mpenzi wangu ila leo nimeamua nikutolee uvivu sweetie, chukua yote maswali badae
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…