Babu kulala gani huko?! ona sasa nime'kuzwa' kinguvu! kabla hujakagua
Nimevumilia kiasi cha kutosha,
Nimenyanyaswa kiasi cha kutosha,
Nimeonewa kiasi cha kutosha
Nimepuuzwa kiasi cha kutosha
Sasa Nasema Baaaasi!.......
Mbu: Anza kuandika wosia
Klorokwini: we sindugu yangu tena, hebu nipatie namba za kwinini...
MTM: Lile deni nililokusamehe, nimebadili mawazo.........nakupa masaa 18.
Firsttlady1: Ulikuwa wapi siku zote
Kin'gasti, Ashadii, Gaga: Nafasi ya MJUKUU MTIIFU IKO WAZI
Mj1: Umefukuzwa kwenye kasri la babu, na cheo chako cha mjukuu mtiifu kimeshushwa na kuwa mjukuu wa kawaida (Mtukutu)
RR: Unatumia kinywaji gani?
With serious note: You guys are amazing....khaa
Yaani kutoka Ulikuwa wapi siku zote mpaka kuniolea mjukuu wangu mtiifu? Tena bila mahari LOL
Nilikuwa wapi siku zote sikuwajua mapema?
:A S 12::A S 12::A S 12::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry: Mbu umeniponza..................Mjukuu wa Kawaida (Mtukutu)
................Ndio babu............naondoka ila naomba unisamehe nsijeenda pata tabu kwa sababu ya laana zako.Tena uondoke na kimkongojo chako ulichonnulia, na kiugoro ulichoniletea ili unihonge..... Na usikanyake tena chumbani kwangu, na kitanda usintandikie.
Ukome na ukomage.......
Tena uondoke na kimkongojo chako ulichonnulia, na kiugoro ulichoniletea ili unihonge..... Na usikanyake tena chumbani kwangu, na kitanda usintandikie.
Ukome na ukomage.......
................Ndio babu............naondoka ila naomba unisamehe nsijeenda pata tabu kwa sababu ya laana zako.
Niagie Bibi!
Nimevumilia kiasi cha kutosha,
Nimenyanyaswa kiasi cha kutosha,
Nimeonewa kiasi cha kutosha
Nimepuuzwa kiasi cha kutosha
Sasa Nasema Baaaasi!.......
Mbu: Anza kuandika wosia
Klorokwini: we sindugu yangu tena, hebu nipatie namba za kwinini...
MTM: Lile deni nililokusamehe, nimebadili mawazo.........nakupa masaa 18.
Firsttlady1: Ulikuwa wapi siku zote
Kin'gasti, Ashadii, Gaga: Nafasi ya MJUKUU MTIIFU IKO WAZI
Mj1: Umefukuzwa kwenye kasri la babu, na cheo chako cha mjukuu mtiifu kimeshushwa na kuwa mjukuu wa kawaida (Mtukutu)
RR: Unatumia kinywaji gani?
With serious note: You guys are amazing....khaa
Yaani kutoka Ulikuwa wapi siku zote mpaka kuniolea mjukuu wangu mtiifu? Tena bila mahari LOL
Nilikuwa wapi siku zote sikuwajua mapema?
:A S 12::A S 12::A S 12::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry: Mbu umeniponza..................Mjukuu wa Kawaida (Mtukutu)
................Ndio babu............naondoka ila naomba unisamehe nsijeenda pata tabu kwa sababu ya laana zako.
Niagie Bibi!
mie ndio mnratibu wa mialiko yote na ntakua floor manager
vipi nikikuweka kwenye vinywaji???
Na Ukang'atwe na mbu, malaria yakushike mpaka ukojolee masikioni........ Na kwa bibi yako sikuagii na kukusamehe sikusamehi..........Umekiuka MILA na DESTURI zetu.................Ndio babu............naondoka ila naomba unisamehe nsijeenda pata tabu kwa sababu ya laana zako.
Niagie Bibi!
We acha tu mpenzi....... yaani mjukuu mtiifu ameamua kwenda kuliwa na mbu........khaaa..... ama kweli wenzangu wana wajukuu nami nina makuu.Hivi hii ulikuwa wapi, kumbe imezua na ndoa humu? lol tualikane basi wajameni, MJ1 naomba unikabidhi cheo cha uenyekiti asee cant wait. Kama nilivyosema naandaa pozi tu hapa
.......
.......
...kibabu chako ki Grumpy hicho! ...."Acha kisuse sie twala!"...LOL!
♫...kuolewa warudi nyumbani kutembea... ♫
- Twanga pepeta, Harusi
Hebu ka-edit hii kitu hapa chni, kabla jua halijazama na jogoo hajawika mara tatuBabu wa zamani.......adhabu uliyonipa ni kubwa sana.nifanye nini unisamehe? Mwe ntadeka kwa nani tena? yaani umenivua gamba Babu, Mjukuu wako ntaadhirika punde!! mwenyewe ulikuwa unanikinga na wakware.ama kweli Mkataa pema........We Mbu umeniharibia maisha na hiki kitumbo ntakipeleka wapi sasa??
Hebu ka-edit hii kitu hapa chni, kabla jua halijazama na jogoo hajawika mara tatu
Mjukuu wa Kawaida (Mtukutu:A S cry::A S 12:; 2011!
Jamani hata utani kidogo tu unachukulia serious? Nikifa usije kunizika......!Nikaedit nini sasa Babu wa Zamani wakati ushani-delete kwenye Kasri lako na hati ya uzaliwa wangu na utiifu wangu ushaugawa kwa Gaga?! Mimi niko hivyo hivyo Mjukuu wa Kawaida (Mtukutu)....................kwa mujibu wa babu.
Jamani hata utani kidogo tu unachukulia serious? Nikifa usije kunizika......!
Na Ukang'atwe na mbu, malaria yakushike mpaka ukojolee masikioni........ Na kwa bibi yako sikuagii na kukusamehe sikusamehi..........Umekiuka MILA na DESTURI zetu.
Na ole wako unrudie na kitumbo....ntakitumbua na makucha yangu..... (Ila jamani ntakumisi....badili mawazo basi nawe, lol):der::A S 12:
Babu wa zamani.......adhabu uliyonipa ni kubwa sana.nifanye nini unisamehe? Mwe ntadeka kwa nani tena? yaani umenivua gamba Babu, Mjukuu wako ntaadhirika punde!! mwenyewe ulikuwa unanikinga na wakware.ama kweli Mkataa pema........We Mbu umeniharibia maisha na hiki kitumbo ntakipeleka wapi sasa??Jamani hata utani kidogo tu unachukulia serious? Nikifa usije kunizika......!Laana hiyo ya kwanza babu................ nisamehe!! Nikiedit utanipokea tena na hiki kitumbo cha Mbu?