Karibu tena Kibong'oto. . .
Siku ukija usiache kunitembea maana hua nafanya fanya usafi kule juu.
Asante sana Lizzy, nitakutembelea uandae na mahindi ya kuchoma nadhani huko yale ya tindigani sasa yanaliwa
Na maharage mabichi wengine tumeshaanza kula. . .njoo ufaidi aisee.
Ngoja nijiandae kupanda huko weekend hii huku mjini panachosha
Nilikuwa klass basi ikapigwa kengele tukakusanyika kisha tukatangaziwa msiba, ila tulipoambiwa kuwa shule itafungwa kwa wiki mbili kwa ajili ya kuomboleza nilifurahi sana.. but now i'm sad
Tujikumbushe Kidogo wadau wa JF, siku ile ya Alhamisi ya tarehe 14/10/1999 mida ya asubuhi kama sikosei ulikuwa wapi na unafanya wakati Kifo cha baba wa Taifa kinatangazwa!