Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?


Wenye uwezo kama huo huwa hawajifaragusi bali fact huongea zenyewe, kujifananisha tu na Mengi ni ishara ya ufukara.

Weka bank statement yako hapa tumalize ubishi.

Mjadala bado mbichi ndio kwanza unaanza, unataka kujuwa nchi nilizofika?

Aliyekwambia Linda ni tajiri ni nani? Unatumia methodology ipi kujuwa uwezo wa kifedha na assets za Linda na za kwako?

NSE na NASDAQ una hisa ngapi? Unaijuwa hata Wall street inafananaje?
 

Tuajiri na wengine basii,toa na vigezo hhhaaaa@warumii njoo kuna tenda huku
 
Tuajiri na wengine basii,toa na vigezo hhhaaaa@warumii njoo kuna tenda huku
Wenye status hizo wenyewe hata ukiwaita Boss au Tajiri huwa hawapendi. Labda hizo ajira kama katowa porini kwenye matanuri yake ya mkaa.

Kwani warumi yupo hospital? Au ni mishe za maisha zimemkaba?
 

we endelea tu kufupisha hivyohivyo, usitake ugomvi na ulimi wako
 
Last edited by a moderator:
Dada ana mguu! Mshallah! Kweli nimemini huyu mzaramo! Ni shidaaaa, ndio anadai huyo mwanae mkubwa ni mtoto wa makongoro nyerere???
 
Huyu dada namfahamu toka enzi hizo Kinondoni..ni mhangaikaji wa life..kwa kifupi yuko vizuri na hana roho ya kwanini..huwaga anafanya yake....ligi yake ni la liga...huwezi mlinganisha na muke ya muzungu ambae yuko ligi ya vodacom na kina lamba lamba Azam...LB uko juu mama....
 

Huwezi fananisha usiku na mchana hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…