Pengine kweli, Pengine si kweli!Ila we ni mshangaz wa kwend kabisa
Kama umenichikulia serious basi tatizo ni wewe!Nyani Ngabu ukiamua kudanganya, jitahidi kutunza kumbukumbu!
Umesema kipindi JK Nyerere anadanji ulikuwa na 57yrs. Kwahiyo mpaka sasa una miaka 83...!
Baadae tena umejichanganya ukasema kipindi Tanganyika tunapata uhuru ulikuwa na miaka 12.
12+64=76
Je, 76=83...??!
Taja umri wako sahihi usichukulie kila mtu humu jf hajui hesabu za kujumlisha na kutoa.
Yote majibuPengine kweli, Pengine si kweli!
Analazimisha baba wa taifa ni ngosha??Kuna msukuma mmoja ananiambia kuwa mama yake na Nyerere aliolewa tokea huko usukumani akiwa tayAri ameshazaliwa , yaani Nyerere alizaliwa na msukuma si unajua Ile mara wenyeji wanaoa wanawake wakiwa na watt na watt ni WA huyo baba
Nilikua mdogo bado ,tumetoka shule na ndugu yangu tukakuta home kuna ugeni (ndugu) halafu bi mkubwa analia kwa maelezo babu kafariki.Mimi nilikuwa na miaka 11 tuu
We je?
hapo tayari umedanganya. Wakati nyerere anakufa una 57 iweje wakati tunapata uhuru uwe na 12. Au wakati tunapata uhuru wa nchi gani.Wakati tunapata uhuru nilikuwa na miaka 12.
hapo tayari umedanganya. Wakati nyerere anakufa una 57 iweje wakati tunapata uhuru uwe na 12. Au wakati tunapata uhuru wa nchi gani.Wakati tunapata uhuru nilikuwa na miaka 12.
Chai
Umezeeka sasaMiezi 6 kabla sijajua kama tutakuja kuwa na raisi mwenye utu,mchapakazi, msikivu, mtekelezaji tena kama mama samia Suluhu Hassan kama ili
alivyokuwa Jk nyerere
Uzee sio ugonjwa😘Umezeeka sasa
Nyie wazee jau sana 😹😹I was 24, nakumbuka kuna vijana walisindikiza Geneza la Mwalimu toka Airport hadi Mikocheni mbio wakiimba...
Nyerere kafaaaaa....... mtuteseeee
Nyerere kafaaaaa.... mtuteseeee
Wamama mitaani walikuwa wakiangua na kuzirai wakishuhudia Geneza la Mwalimu likipita. Hiyo siku ilikuwa ni balaa kubwa.
Kwa kweli hao Vijana ambao sasa wapo 40 hadi 50 by age wanashuhudia Taifa lao likiuzwa kama nguo za mtumba mnadani.
Mimi nilikua nimeachika ndoa yangu ya kwanza, nasubiria mchumba aje kuleta posa niolewe tena..!!😅😅😅
Mnaoandika uongo kwani lazima kujibu!!!
Haki nimecheka km chizi 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹Nilikua mdogo bado ,tumetoka shule na ndugu yangu tukakuta home kuna ugeni (ndugu) halafu bi mkubwa analia kwa maelezo babu kafariki.
Tukajiunga na kulia tukijua babu yetu kafariki na yule mgeni ndiye mleta habari...kuja kufahamu ni babu/baba wa taifa tushalia sana🙌
We mzee jau sana😂Vichungu tutaachache kula wakati Wajukuu wenyewe hamji kutusalimia 😜
Hamtaki tuonje mapishi yenu 😅