Ulikuwa na miaka mingapi kipindi Nyerere anafariki?

Ulikuwa na miaka mingapi kipindi Nyerere anafariki?

Majira radio Tanzania (kipindi kilikuwa kinaitwa majira cha saa kumi jioni) ndo walitangaza kuwa mwamba kaaga ,nakumbuka vyema.
majira radio tanzania kilikua kinaanza saa tatu kamili usiku pia taarifa ya kifo ilitangazwa saa nne asubuhi na ben w mkapa alie kua rais wa tz
 
Back
Top Bottom