SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Hapo nawaonea wivu wale ambao wanaoana kabla ya kuchakatana, lazima watakuwa wana shauku kubwa,lakini sisi tuliooa baada ya kujiridhisha kwanza inakuwa siku ya kawaida tu.
Ukiwa na hofu sana ndo utajikuta unajikojolea mbele za watu wakati n mambo ya kawaida tu[emoji28]Yaani sijui ntaambia nini watu