G
Unaandika kama unatapika.Basi buana wale wapendwa wetu wanafanya kazi za night shift alafu nikabaki na beki na vitoto vidogo hata havijui kuongea vikalala basi buana tukaamza KUCHEKI movie basi buana nbeki ana kagaguro tu aiseh nikaanza misheni tow basi akagoma goma pale mzee kukakucha dah alanbaba mwenye nyumba kaingia mida flani mama mwenye nyumba bado Yuko shift si nikaona beki anaingi kwa faza house mimi Nilikiwa nimelala kiuongo na kweli Sasa alivyoingia nikatoka kama nataka kwenda nje KUCHEKI mpangonimegungwa buana kwenda chooninsimuoni beki kuchungukia kwa hayumo ebana nikarudia kujilaza mara nasikia mlangonunalia fiu kuchungukia sibeki anatoka room ya faza house wakati fazanyumo na moaza house hayupo.
Nikakonclude kumbe house girl ni chakula ya faza house lo ruhama. Ndioana kanizingua
Mwandiko mbayaaaaBasi buana wale wapendwa wetu wanafanya kazi za night shift alafu nikabaki na beki na vitoto vidogo hata havijui kuongea vikalala basi buana tukaamza KUCHEKI movie basi buana nbeki ana kagaguro tu aiseh nikaanza misheni tow basi akagoma goma pale mzee kukakucha dah alanbaba mwenye nyumba kaingia mida flani mama mwenye nyumba bado Yuko shift si nikaona beki anaingi kwa faza house mimi Nilikiwa nimelala kiuongo na kweli Sasa alivyoingia nikatoka kama nataka kwenda nje KUCHEKI mpangonimegungwa buana kwenda chooninsimuoni beki kuchungukia kwa hayumo ebana nikarudia kujilaza mara nasikia mlangonunalia fiu kuchungukia sibeki anatoka room ya faza house wakati fazanyumo na moaza house hayupo.
Nikakonclude kumbe house girl ni chakula ya faza house lo ruhama. Ndioana kanizingua
Ntakugonga shauri yakoUnaandika kama unatapika.
Rest easyMwandiko mbayaaaa
Sipendi kwa mtu wala sitaki mtu mzima kwanguMimi siendagi kwa watu maana sitakagi heka heka
Upo kama mimi, sitaki shida na watu kuna rafiki yangu nilimkaribisha kwangu alikuwa vibaya kiuchumi akaanza kuniambia nina roho mbaya dah! Binadamu hawana shukraniSipendi kwa mtu wala sitaki mtu mzima kwangu
Uli mfanyia nini mpaka akutangaze ivyoUpo kama mimi, sitaki shida na watu kuna rafiki yangu nilimkaribisha kwangu alikuwa vibaya kiuchumi akaanza kuniambia nina roho mbaya dah! Binadamu hawana shukrani
Mambo tu ya wanawake ndugu yangu ni magumu sana acha tuUli mfanyia nini mpaka akutangaze ivyo
Sasa si bora wewe mimi niliendaga hiyo sehemu hadi maharage robo yanawekwa mchuzi, hadi dagaa wa jero mchuzi acheni tu kuna watu wana maisha magumu, kama una uhakika wa kula kila siku mshukuru MunguNiliwahi enda ugenini kanda ya ziwa, umepikwa ugali na nyama ya mbuzi !
Dah huo mchuzi kama maji, nyanya na unaziona kabisa ! Sijui ni nyama ilichemshwa tu wakatia tu viungo, alafu maji mengi kama supu vile ,,,,
Mbaya zaidi unapakuliwa, bonge la ugali na bakuli la supu na hizo nyama ,,,,
Niliona hapa namcheka kabisa, kuna dogo kama wa la saba hivi kinamuita nikala nae nikawa nazuga zuga ili ngoma iishe 😃
Dah ,,,, ! Hatari sanaSasa si bora wewe mimi niliendaga hiyo sehemu hadi maharage robo yanawekwa mchuzi, hadi dagaa wa jero mchuzi acheni tu kuna watu wana maisha magumu, kama una uhakika wa kula kila siku mshukuru Mungu
Hadi nilipata presha, acha tu mkuu ila maisha hayaDah ,,,, ! Hatari sana
Watoto watoto nitalea ila watu wazima hapanaUpo kama mimi, sitaki shida na watu kuna rafiki yangu nilimkaribisha kwangu alikuwa vibaya kiuchumi akaanza kuniambia nina roho mbaya dah! Binadamu hawana shukrani
Nilienda kwa ndugu yangu alikuwa amesafiri nikawa naishi na mkewe na wanawe, nilikaa almost wiki nzima sipuu na hata nipoanza kupuu ilikuwa kama cha mbuzi kidogo tu na chooni naingia kwa kuvizia.Ukiwa ugenini unatakiwa kutumia choo kwa umakini