Ulijuaje una date na wakishua bila mwenyewe kukuambia

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,585
Reaction score
2,666
•Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi

•Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe

•Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
 
Fesibuku iheshimiwe na watu wote
 
Huu Uzi umeanzishwa juzi humu, alafu umechukua comments za kwenye ule uzi kisha umeanzisha Uzi wako hayo mambo ya kipumbavu yaishie huko Facebook.
Pumbavu
 
Back
Top Bottom