Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,419
- 175,116
Vinatabia za fisi kabisa, yani kuwinda hawawindi ila penye mnofu wanajipeleka fasta kama umeme wa REA 😂😂😂!Ha ha ha ha ha ha ila vibinti vya kitanzania vina tabia za kikahaba sana na ndio maana milage za kuliwa na kutemwa zipo juu zaidi