Huyo mzazi wako kazaliwa na nani? Rudi nyuma zaidi zaidi zaidi. Mpaka uanze shina la mzazi wakoYupi huyo? Anaishi wapi? Na chanzo chake kipi??
Labda nikurahisishie swali, mimi na wewe tuna chanzo chetu yaani wazazi wetu, walifanya matusi tukazaliwa si ndiyo?
Haya sasa Mungu chanzo chake kipi?
Au bado hujaelewa swali?
Allah ana mswalia mtume (How?) Kivipi yaani ,kwa sababu gani yaani? Ili iweje yaani? After kumswalia ili kitokee nini yaani.Maswali ni mengi sana yasiyo na majibu..na kwa nini Allah amuheshimu Muhammad? How is it Possible?Hakika Mwenyezi Mungu mwenyewe pamoja na Malaika wake wanamswalia (wanamrehemu, wanamheshimu, na kumuombea Mtume Muhammad). Basi enyi mlioamini, nanyi mswalieni (mwombeeni rehema) na mumsalimie kwa amani na heshima."
---
Maelezo ya Maana:
"Mwenyezi Mungu kumswalia Mtume": Hii ina maana kuwa Allah anampa Mtume heshima, rehema, na kumuinua daraja lake duniani na Akhera.
"Malaika kumswalia Mtume": Wao humuombea dua, msamaha, na kueneza heshima yake.
"Enyi mlioamini, mswalieni": Allah anatuamrisha sisi waumini tumwombee Mtume Muhammad rehema na amani mara kwa mara.
"Mumsalimie kwa salamu ya amani": Tunampongeza na kumtakia salama, kwa kusema:
Umetoa hoja ya kifalsafa ambayo inaangazia mtazamo wa ignosticism, kwamba mijadala kuhusu "mungu" haina maana mpaka kuwe na uelewano wa dhahiri kuhusu maana ya "mungu." Huu ni mtazamo wa kiakili unaozingatia ugumu wa lugha, tofauti za kiutamaduni, na tafsiri za binadamu.Tambua kwamba "mungu" ni dhana ambayo binadamu aliitengeneza kuufafanua ulimwengu.
Kwahiyo miungu ni mawazo ya kibinadamu kabisa.
Pia neno "mungu" ni tata, tamaduni mbalimbali zinalitafsiri kwa namna mbalimbali, hata watu pia.
Mimi ni mdau mkubwa wa falsafa ya "ignosticism", kwamba mijadala juu ya mungu haina maana ingali watu wote hatuwezi kukubaliana juu ya maana ya moja ya neno "mungu".
Kama ulimwengu uliumbwa, basi aliyeuumba ni muumbaji tu, mambo ya miungu sikubaliani nayo.
"Au wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana yakini.""Je, waliumbwa bila ya kitu chochote? Au ni wao ndio waumaji?"
Adam una uthibitisho gani km aliumbwa na Mungu? Wewe ulikuwepo au tupe uthibitisho wa hilo?Muulize Adam aliezaliwa mwanzo. Bora kuku anaakili kuliko wewe.
Kabla hujauliza hayo maswali. Jiulize. Jee leo unaweza kurudi tumboni kwa mzee wako kupitia pale pale ulipotokea? Nani kakufanya utokee hapo lkn ushindwe kurudi?Allah ana mswalia mtume (How?) Kivipi yaani ,kwa sababu gani yaani? Ili iweje yaani? After kumswalia ili kitokee nini yaani.Maswali ni mengi sana yasiyo na majibu..na kwa nini Allah amuheshimu Muhammad? How is it Possible?
UNAONYESHA DHAHIRI AKILI ZAKO ZA KUKU. UNAKUBALI ADAM ALIKUWEPO LKN ALIEMLETA HUMJUI. NIMEKUTAJIA LKN HUTAKI KUMTAJA ALIEMLETAAdam una uthibitisho gani km aliumbwa na Mungu? Wewe ulikuwepo au tupe uthibitisho wa hilo?
Mimi nakubali nimetokana na wazazi wangu na hata wewe nakubali umetokana na wazazi wako na hata vizazi vijavyo vitakubali hilo sababu wataendelea kuzaliana kwa kufanya mapenzi…!!
Kwanini wewe hutaki kusema yeye Mungu alitokea wapi? Na pia tuendelee kuona kile chanzo chake kinaendelea kufanya kazi bila kutumia nguvu kuaminisha wengine kwa historia za kufikirika??
Hapa mimi na wewe nani ana akili za kuku sheikh malaria??
Huyo muumbaji ni nani? Hana chanzo?Kama ulimwengu uliumbwa, basi aliyeuumba ni muumbaji tu, mambo ya miungu sikubaliani nayo
Jibu maswali yangu acha porojoKabla hujauliza hayo maswali. Jiulize. Jee leo unaweza kurudi tumboni kwa mzee wako kupitia pale pale ulipotokea? Nani kakufanya utokee hapo lkn ushindwe kurudi?
Allah ndio muumbajiHuyo muumbaji ni nani? Hana chanzo?
Huna swali. Unaleta ngonjera tu. Ukiulizwa nje ya ukutani kwako kuna nani, jibu hujuiJibu maswali yangu acha porojo
Hatumjui, hatujui alivyo, hatuna uhakika kama yupo.Huyo muumbaji ni nani? Hana chanzo?
Hahahaa..masikini wee,huna jibu ndio mana unakwepa maswali yangu.Eti Allah ana mswalia mtume how? Unajua maana kuswalia ? Hayo maombi anayomswalia anayapeleka kwa mamlaka ipi? ..Wazee mnadanganywa sana yaani.Huna swali. Unaleta ngonjera tu. Ukiulizwa nje ya ukutani kwako kuna nani, jibu hujui
Wapi nimekubali Adamu alikuwepo??UNAONYESHA DHAHIRI AKILI ZAKO ZA KUKU. UNAKUBALI ADAM ALIKUWEPO LKN ALIEMLETA HUMJUI. NIMEKUTAJIA LKN HUTAKI KUMTAJA ALIEMLETA
Yeye Allah aliumbwa na nani?Allah ndio muumbaji
Shemeji basi naona ushaanza kunifokea 😹😹Hatumjui, hatujui alivyo, hatuna uhakika kama yupo.
Umeanza kuelewa au napigia mbuzi gitaa?
Adam hakuwepo? Kwa hivyo wewe chanzo chako ni nyani kama wazungu wanavyokwambia?Wapi nimekubali Adamu alikuwepo??
Hebu soma vizuri usikurupuke, halafu acha kujitingisha cannula itachomoka..!!
Hujajibu swali Mungu chanzo chake kipi?
Kwanini mafundisho ya kiislamu huwa yanagusia imani ya kikristo in negative way, ila wao wanakomaa na ya kwao?Ndio wakiristo na waislam wanaamini Mungu tafauti
Hilo swali halina majibu...dunia imetokea wapi? Au imeota km uyoga?
Kwa kutumia akili tu:Yeye Allah aliumbwa na nani?
Chanzo chake kipi?
Kwa mfano? Au umetoka usingizini ukakamata simu tu?Kwanini mafundisho ya kiislamu huwa yanagusia imani ya kikristo in negative way, ila wao wanakomaa na ya kwao?