Ulijihisi vipi ilipokutokea?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
2,648
4,835
Simple tu ukiamua kitu lazima ukifanye japo muda mwingine majuto yanakuja alafu unapuuza

netsh wlan show prifile name=(wifi name) key=clear
 

sankara25

JF-Expert Member
Aug 19, 2022
392
770
Mbona me sijawahi kuteseka na mapenzi au sjui sijawahi kupenda. 😂 Na sijui nitapenda lini coz tyr nimeoa 😂😂😂😀
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom