sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Sasa Sister! Una mupenz anakidhi vigezo vyote isipokua 6*6 ni mchovu sana. Hivi utaniambia ni haki kumuacha huyu??
If sio haki, nini suluhisho?
...
Unamtazamo m'baya dhidi ya wanaochit!
But beleive me in some situation m/me akicheat ni afueni kwa ke wake & balance of interest ndio inapatikana! Na mahusiano yenu ndio yana go smoothly!
...
Si kila anaechit ni malaya!
Mwenyewe nilishapewa ruhusa ya kuponea nje sometimes!
Siyo kama na mtazamo mbaya wa kucheat ila mtu anaye cheat ndivyo navyomchukulia.....
Kama hayuko vzuri kwenye 6x6 na wew kigezo chako muhimu ni hapo kwanin usimtafute huyo mzuri kwenye 6x6 ili usimcheat huyo uliyenaye..........na kama hauwezi kumwacha kwa sababu hyo basi mvumilie na ufundishe kile unachotaka.......mana akuna aliyezaliwa akajua watu wanajifunza.....
Kwahyo kuruhusiwa kwenda kucheat wew umeona sawa...? Aiseee na utafanya hvyo....?