Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

hakuna jipya ni kwaida tu maana zoezi ni lilelile yaani kuingiza na kutoa then unacheua ule uji mzito wa maji ya mchele
(mengine ni mbwebwe tu)
 
Mim nadhani binadam ni watu wa kujaribu jaribu....mwingine ana cheat mfano kaambiwa wanawake wanene watam basi kama ana mwembamba atataka ajaribu huyo mnene aone.....

kwahyo akikuta ni kweli basi yey binafsi ataona amefaidika na ataendeleza huo mchezo...

Na ikitokea mambo amekuta sivyo ndivyo basi atakuwa amepata hasara....na ataamua kuacha.....

So kuna mambo mengi ambayo yanaweza sababisha cheating.....ila kwenye cheating akuna faida nachoona siku zote ni hasara....mana umeshindwa kutosheka na ulichonacho na pia umeshindwa kuzuia tamaa ya mwili...

Sasa Sister! Una mupenz anakidhi vigezo vyote isipokua 6*6 ni mchovu sana. Hivi utaniambia ni haki kumuacha huyu??
If sio haki, nini suluhisho?
...
Unamtazamo m'baya dhidi ya wanaochit!
But beleive me in some situation m/me akicheat ni afueni kwa ke wake & balance of interest ndio inapatikana! Na mahusiano yenu ndio yana go smoothly!
...
Si kila anaechit ni malaya!
Mwenyewe nilishapewa ruhusa ya kuponea nje sometimes!
 
Huku sikuwezi mkuu_ngoja nielekee kule kwetu mchungaji.

Ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Hata kule huniwezi!
 
Kaka Eiyer kutokana na nature ya swali ulilouliza ni ngumu sana mtu kufunguka! Kila m1 atajifanya mtakatifu!
Kiasi kwamba hajawahi kucheat!
...
But believe me wengi wanaochit ni kutokuridhirishwa na wapenzi wao! Kuna ke ni magogo!
Kuna me ni vilaza!
...
Kuna wanaoridhiridhishwa but mahitaji ya hela ndio sababu kuu!
Hawa hawajutii na athari zozote isipokua maradhi!
...
Ingawa kuna vichwa vimepigwa muhuri, hawa lazima wacheat! Hawana hata sababu ya msingi!!!
Nadhani imesomeka hiyo!
Najua hii kitu sio sahihi kabisa lakini haimaanishi kuwa huwezi kupata zuri kwenye hiyo kitu

Ni muda mrefu sana jambo hili limeshajadiliwa sana kama linawezekana kuzuilika
Wapo waliosema linazuilika na wengine wamesema halizuiliki [ Asprin and co]

Hapa sitazungumzia hayo ila hapa nitazungumza yale tuliyojifunza kupitia hilo jambo

Suala lenyewe ninalolizungumzia hapa ni cheating[kugegeda nje ya ndoa]

Inajulikana kuwa kuna watu wanalifanya jambo hili kwa kificho na kuna wengine wanalifanya kwa uwazi,hii nayo sio hoja

Hebu tufunguke hapa,siku ya kwanza kuivunja hiyo amri ya sita ulijifunza nini?
Au ulipata hasara gani?
AU ulipata faida gani?

Naomba niweke wazi kuwa ku-cheat ninakokuzungumzia hapa hakukomei kwenye ndoa tu bali hata kwenye mahusiano yale ambayo wahusika wake hawajakwenda kwenye nyumba za ibada lakini ni mahusiano yenye usirious wa kutosha

Kuna watu walikuwa ni waaminifu sana kwenye ndoa zao au mahusiano yao na changamoto zilipoanza walikuwa na wakati mgumu sana na siku walipoamua kuwa na mpango wa kando tu waliweza kugundua kuwa kumbe hata nje ya mahusiano/ndoa kuna mapenzi kuzidi yale waliyoyazoea

Kuna wengine baada tu ya kuwa na mpango wa kando wameweza kugundua kuwa hakuna kama mwenza wao,yaani wamejiaibisha na kitendo hicho kimewafanya wawe waaminifu zaidi ya mwanzo

Kuna wengine baada ya kupata mpango wa kando wamejikuta huo mpango wa kando ndio the right person kwao badala ya wenza wa mahusiano/ndoa yao

Mifano ni mengi sana lakini zaidi sana kuna jamaa yangu mmoja alipata kujifunza kwa maumivu sana baada ya mkewe kufariki kwa uzembe wake mwenyewe kwa kuwa alikuwa anauthamini sana mpango wa kando na kuzenbea kumpatia matibabu ya kutosha mkewe kitendo kilichomsababishia kifo chake

Baada ya tukio hilo la kuumiza sana jamaa alijifunza na alipokuja kuoa tena alikuwa mwangalifu sana na mkewe na alikuwa na uaminifu wa hali ya juu kutokana na kujifunza na kadhia ya mwanzo

Kuna kujifunza kwingi sana kupitia hii kitu,ningependa leo tujaribu kushea pamoja ili tujifunze kupitia wengine

Au ni ngumu kufunguka?
Hebu tujaribuni.......!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
may be i am speaking out of tone ,but i am trying to imagine that, being in a marriage, cheating is inevitable. reason behind is i will loose appetite by s.exing with only one girl for the rest of my life . by saying so i mean for a husband to have a healthier marriage in one way or another he suppose to cheat for him to re-awake appetite to his wife .
so cheating has some advantages to husbands' side but not to wife's

Umeisoma mada ukielewa?
 
Kaka Eiyer kutokana na nature ya swali ulilouliza ni ngumu sana mtu kufunguka! Kila m1 atajifanya mtakatifu!
Kiasi kwamba hajawahi kucheat!
...
But believe me wengi wanaochit ni kutokuridhirishwa na wapenzi wao! Kuna ke ni magogo!
Kuna me ni vilaza!
...
Kuna wanaoridhiridhishwa but mahitaji ya hela ndio sababu kuu!
Hawa hawajutii na athari zozote isipokua maradhi!
...
Ingawa kuna vichwa vimepigwa muhuri, hawa lazima wacheat! Hawana hata sababu ya msingi!!!
Nadhani imesomeka hiyo!

Ni kweli mkuu naona wameuogopa mnakasha!
Kila mtu hapa anajidai ni mtakatifu

Lakini ukweli wanaujua wao!
 
Huna mahusiano yenye malengo wewe?
sidhani, nimekuwa mguu ndani mguu nje, niliwah kumwambia ungefanya kitu flani ingekuwa mwisho wetu akanambia sio mbaya pia, nkaona hamna jipya
 
Mkuu,
Hebu funguka bana
Hata kama sio kwenye ndoa hata kule enzi zile bado hujafunga pingu inamaana hujawahi kufanya hii kitu?
Mkuu Eiyer kuna muda unajiona mkosaji sana wakati umefanya kitendo ambacho hukutarajia
Wakati unapojijua kuwa una mtu wako anayekuamini na unayemwamini na ghafla ukapitiwa na mpango wa kando ukachepuka kwenda nje ya muhusika unajiona kabisa mkosaji na unafeel kabisa kuwa umetenda kosa na umemtendea kosa yule uliye nae
Muhimu hapo si kurudia kosa tena na kwenda kwa mwingine ila ni kuacha hizo mambo
kweli kuna muda unanogewa na mpango wa kando mpaka unajihisi ni bora ubaki kule kule ila roho inakusuta haswa ukimfikiria yule uliye nae na namna atakavyoumia atakaposikia kuwa umemsaliti na kama unavyojua mpango wa kando huwa hawalazi dam wakikupata huwa wanaongeza utaalam na mbinu mbadala kuhakikisha kuwa unabaki huko huko
copy AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom