Uliitumiaje computer siku ya kwanza kabisaaa?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
wadau nmekumbuka sana v2 nlivyofanya ile cku ya kwanza nakumbuka nlitumia windows 95 ku paint ua je wadau wengine hivi siku ya kwanza mlitumia computer kufanyia ki2 gan?
 
Utoto bwanaa!! Kaaaazi kwelikweli!
 
Mim siku ya kwanza nilikuwa nasoma tosa boys huko iringa so weekend ukiwa na vijicent unakwenda town kuosha macho na kwenda kuangalia X na kusikiliza mziki cafe.

Mim kwa mala ya kwanza kwa mkono wangu nilifanikiwa kufungua X ile ku play tu sauti ilikuwa juu ile mbaya kwa kupunguzia sipajui ?
Ilikuwa kizaa zaa
 
damn!!!
 
Hahaha kama nakuona vile ulivyokua
 
Mim siku ya kwanza nilikuwa nasoma tosa boys huko iringa so weekend ukiwa na vijicent unakwenda town kuosha macho na kwenda kuangalia X na kusikiliza mziki cafe.

Mim kwa mala ya kwanza kwa mkono wangu nilifanikiwa kufungua X ile ku play tu sauti ilikuwa juu ile mbaya kwa kupunguzia sipajui ?
Ilikuwa kizaa zaa

duh cafe yetu ya pale karibu na miomboni nini...
 
dah ilikuwa kwa ndugu wangu wa kishua aliletewa toka uk..tulikuwa tunajifungia full kuangalia x na kucheza super mario...yaani ilikuwa nikitoka shule tu kwaoo hadi msoc
 
Nilitype Jina langu kwenye Word 2003 afu nikaandika historia yangu ya kutimuliwa Muru Boys
 
nilikua namsindikiza jamaa yangu alikua amefungua email na alikua anapenda kutafuta marafiki magazetini. Siku akanifungulia na mimi hapo ndo kazi ilipo anzia. Nilikua std 6
 
Back
Top Bottom