Mi nilianza kuvuta kupotezea ile hali nilitokuwa naona kama nikienda kwa wajombaa na kuona familia zenye wazazi wako pamoja zilivo na raha. Da sasa nikaanza moka balaa ila ukiniona huezi elewa. Man baadae ilikolea mpaka nikaja kuwa sadali ila kwa sasa nimeacha kula na kuuza. Ilaa kwa hii area nilioko ni kitu nomo kuvuta yani fulu bangi zone muhimu zifike kutoka uko itokako.


