Ulianzaje kukaa gheto?


Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Mpaka sasa Mimi niko geto sababu ya hamasa za huu uzi na maisha yanaenda poa sana tu. Big up sana Walec
 
Maishani bajeti ni muhimu sana mkuu, kwa bajeti hiyo ukiisimamia unapiga hatua bila shida.
 
Haya wenye ma ghetto yao wanajifaragua, wengine sie watazamaji tyuuh. Maana tunapoishi pamepitiliza sifa za u ghetto.
Ww si unalala hostels bwanaaa [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie tangu nime join chuo, sijawahi ishi hostel.
Nikikuleta kwangu wallah hutoamini, master yenye sebule imesheheni kila unachokijua, hapa nataka kununua jiko la umeme.
Aisee hebu nipe invitation siku moja[emoji3]
 
Pesa zangu huwa zunashia ghetto, hakna kitu nachopenda km kuishi sehemu nzuri. Ntakukaribisha usjar.
Aisee basi mashost zako watakua wanakuja kupumzka sana hapo....wacha nije kujionea siku moja
 
Mkuu ebu tupeane connection unapiga mishe gani kiongoz upo under 23 lkn vitu unavyomiliki ni hatàr anyway hongera lkn big up focus
Nipe code na mm mkuuu nichomoke mahome maana sielewi
 
Mkuu..5000 per day ndio bajeti yangu..ikizidi huwa naumia sana mzee...maana kipato kidogo kweli..lakini sikufichi mkuu, bila kuweka bajeti kama hizi huwezi kutoboa...ni changamoto sana kuishi kwa 5000 kwa siku hasa maeneo ya town ila ndoivo no way out...

Upande mwingine getto limeniponza wakuu..toka nianze kukaa getto kuna ndugu zangu wanahisi nimetoboa maisha kumbeeeee ninajua mm tu..hapa nishaingizwa kwenye kamati ya send off ya ndugu yangu mmoja...mchango ni kuanzia 50k kwenda juu..hapa ndonga inauma balaaa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…