Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Dunia kijiji siku hizi. Nikutumie mwaliko na tiketi uje kutembea?Asante mkuu sema inaonekana upo maulaya uko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia kijiji siku hizi. Nikutumie mwaliko na tiketi uje kutembea?Asante mkuu sema inaonekana upo maulaya uko
Huko kuna apartment sio vyumba.Niko natafuta chumba Cha kupanga huku masaki wiki sasa sijapata ebu mwenye connection aniunganishe wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
We una macho makaliWame nini hapo ,![]()



. Nimerekebisha kule ila hapo kwako itabaki as evidence. Yah ndio vizuri 🤣🤣🤣We una macho makali. Nimerekebisha kule ila hapo kwako itabaki as evidence.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu fanya hivyo jamaniDunia kijiji siku hizi. Nikutumie mwaliko na tiketi uje kutembea?
Sent using Jamii Forums mobile app


Duh, umeniwahi vibaya. Ila poa tu ndio kuteleza kwa keypads hukoYah ndio vizuri![]()
mkuu alikuwa ananipigisha kazi afu hanipi hata jero mwisho nkaona nitoroke hme 2
kali
Hahahaha! Hili nalo la kuzingatia
Ambacho hujaelewa wewe nini?Nilikuwa najaribu kucalculate hizo hesabu za mwamba, mwisho wa siku nikapotezea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakaa kwa wazaziWadada wa jf inamana hamna mageto au nyie tayar mshajenga?
Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
Alipiga picha akaondokaWe hauko alone bhn, na alokupiga picha je, utasemaje uko peke yko ahahaha

nikabaki mwenyeweAlipiga picha akaondokanikabaki mwenyewe