Mambo sio mabaya mkuu..nakukumbukaNilihamasika kupanga kupitia thread hii na still bdo nahamasika kuongeza vitu ndan
Japo sijafika nnapotaka lakini kesho yangu naionaView attachment 1255624
Hongera sana boss...mambo mdogo mdogo tu... kumbe ulipigwa mkwara?Nishukuru wanajamii wote kwa kunihamasisha kujitegemea japo home vyumba vya kutosha ila nilifanya maamuzi japo ilikuwa kwa mbinde na maswala.ya vitisho ila nashukuru Mungu mwezi wa tatu japo geto halijaa kaa kigeto kweli ila soon as possible litakuwa fresh na nitaleta picha ya geto langu mahala lilipofikia
Ccc NAKWEDE
Mambo sio mabaya mkuu..nakukumbuka
Kimtindo kwani nimeongeza safuri kutoka mbili mpaka saba na nalala kwenye kitanda na kichwa changuila saiz mambo mswano sio
Mi nimefanikiwa bhna.. Saiv full upepoKwa sisi watoto wa mwisho inakua ni mbinde sana kuchomoka home, ila mwakani lazima kieleweke tu
Haha njoo nakusubiriHaina maelezo ya kuridhisha. Nayafata maelezo wasap
Si unajua tena hawa wazee wetu tenaHongera sana boss...mambo mdogo mdogo tu... kumbe ulipigwa mkwara?
Mkuu, tafuta kazi/shughuli mbali na nyumbani, hapo utaondoka nyumbani kwa amani bila kuzinguana na mshuaSi unajua tena hawa wazee wetu tena
Ndicho nachokifanya na ndio maana nimesha ondoka nyumbaniMkuu, tafuta kazi/shughuli mbali na nyumbani, hapo utaondoka nyumbani kwa amani bila kuzinguana na mshua
Comment ya Bukuu toka magetoni hapaa
Kwa sisi watoto wa mwisho inakua ni mbinde sana kuchomoka home, ila mwakani lazima kieleweke tu
Nimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
Karibu sana getoni kwangu hata siku moja nikupe maujanja ya kuishi free unavyo taka nimefahamu kuwa bado huko kwenuNimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
Geto sehemu ambapo wadada wanatafunwa kama nyama...