lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,947
- 3,457
Umepaka hina sio?
Nakumbuka mwaka jana niliaga nyumbani kua natak kusepa nikatafte maisha
Mzee Akanambi hakun kuondoka hapa had nione assets zako
Dah nkasem poa....
Miezi miwili mbele nkapata kaz... Nje kidogo ya mji basi ndo naishi hapa
Changamoto ni kupika na kufua tuView attachment 1175222View attachment 1175223



hadi saa4
yeah yeah bro.