Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Hahahahahahhahahahaha mama hao vilaza Ulikutana nao wapi















Nashukuru Serikali Ya Maguu walinihamisha mjini kunipeleka Hombolo wanashindwa kuja etii ooh siyo mjini .
Nilipofika huku nikajitwalia zangu nikapanga nyumba nzimaa wanaoweza kuja hawakai sana maana huku hakuna starehe kama town ana kaa siku mbili anaondoka .

hadi saa4

