Ulianzaje kukaa gheto?

Hongera,ulihamahama sana😁
 
En u know that!!?
 
Nafurah kuona comments yangu hi,

By the way good morning,naandika nikiwa naamka sehemu ambayo sidaiwi kodi…
 
Hongera sana mkuu.

Naomba kujua bei za mashamba zipoje huko???
 
Nafurah kuona comments yangu hi,

By the way good morning,naandika nikiwa naamka sehemu ambayo sidaiwi kodi…
Hivi mkuu ukiwezaje kununua makorokoro ya ndani, maana Mimi hata sifikirii.

Nilirudi tu napika nakula nacheki movie kwa PC kidogo huyooo kulala.

Hata kununua vitu naona uvivu
 
Hivi mkuu ukiwezaje kununua makorokoro ya ndani, maana Mimi hata sifikirii.

Nilirudi tu napika nakula nacheki movie kwa PC kidogo huyooo kulala.

Hata kununua vitu naona uvivu
Inategemeana chief
Aina ya kazi na life style yako,
Wala si lazima ikiwa huvitumii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…