Ulianzaje kukaa gheto?

πŸ‘
 
Dah wazee mimi nimepata mchongo mkoa ambapo wazazi wapo kipato kipo fresh tu ila kuhama home ndio inakua kipengele mno.
 
Dah wazee mimi nimepata mchongo mkoa ambapo wazazi wapo kipato kipo fresh tu ila kuhama home ndio inakua kipengele mno.
hapo mwanawane usihame wewe tulia nyumbani bwana ya nini ukateseke kwenye miji ya watu wakati kwa dingi fulll raha
 
Aisee ni upweke balaa kukaa peke yako.
ukiingia ndani tu kuongea ndio mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…