Merchante
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,458
- 3,011
Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?Yeah, japokuwa me ni mdau wa Hisense ila nakubali kuwa TCL wako vizuri sana
Na bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?Yeah, japokuwa me ni mdau wa Hisense ila nakubali kuwa TCL wako vizuri sana
Boss mimi niko Iringa,Mafinga.Nimetoka kuisave hapa kumbe mhusika upo humu huku, unapatikana mkoa gani mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Tcl yuko juuNa bei zao ziko juu kiasi au kama za Hisense?
We kwenu umetoka lini? 😂😂Mwaka mpya na mambo
Mwaka huu inshaaAllah nimepanga nibadili/kuongeza vitu kadhaa,
Nashukuru kwa mwaka jana nilifanikisha vitu kadhaaView attachment 2466214
Mwaka jana nilisema mwezi wa sitaWe kwenu umetoka lini?![]()
,
Endelea kula ugali wa bure hapo 🥰Mwaka jana nilisema mwezi wa sita,
Mwaka huu tena nawaza hapa![]()
Twenzetu tukajipimie mapori hayoNdiyo nawe unaanzisha kijiji chako,
Nawaza hivi,
Kuna kijiji niliendaga nikawauliza wenyeji, hivi huku nikitaka shamba au kiwanja mnauzaje??
Wakaniambia wewe kama unataka unajipimia hayo mapori hayana mwenyewe![]()

Kwann usiiweke ukutaniMwaka mpya na mambo
Mwaka huu inshaaAllah nimepanga nibadili/kuongeza vitu kadhaa,
Nashukuru kwa mwaka jana nilifanikisha vitu kadhaaView attachment 2466214
Kuhama home labda nihame mkoaEndelea kula ugali wa bure hapo![]()
Huku nje sio poa, ni vile tu tuko kwenye mikoa ambayo wazazi hawapo

Ngoja nimpate jirani mwingine tukajipimieTwenzetu tukajipimie mapori hayo![]()
Sasa kwanini umesema unabadili vitu 😂 unabadilije vitu vya wazazi.Kuhama home labda nihame mkoa![]()
Tunaanzisha kijiji chetuNgoja nimpate jirani mwingine tukajipimie
Naomba nije kulala hapo

🤪😁 matamanio yalitimiaUshabadili??
Hongera
Vya kwngu mwenyewe kwenye ka room kanguSasa kwanini umesema unabadili vituunabadilije vitu vya wazazi.
, si nilikuambiaga nimeambiwa ninunue Tv yangu
Eh ya Tv nakumbukaVya kwngu mwenyewe kwenye ka room kangu, si nilikuambiaga nimeambiwa ninunue Tv yangu
![]()
Hongeraaaamatamanio yalitimia

Hata siku kikiumana nanyanyua vyangu naamsha,japo nishaambiwa ukitaka kusepa ondoka wewe na nguo zako tuEh ya Tv nakumbuka
Unakajaza mdo mdosafii
