[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mafundi bhanaHapo sawa maana ile kuona tu kitanda tena kipya sijui hii ilitokana na nini, mara shuka, viatu vyako, mara upite pite unaenda kupika, mara ukaoge.
Yaani unaweza kujikuta unaaza kutengeneza fridge wakati siyo kazi uliyoitiwa ilimradi tu muda usogee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe haupo siriazi khaaa! Ushapewa muongozo hapo juu.Jamani hamna anayejua napoweza pata chumba self na sebule maeneo ya mwenge na ubungo
Upi huo ebu nirushieNawe haupo siriazi khaaa! Ushapewa muongozo hapo juu.
@mzabzabUtaipata tena maeneo ya Ubungo yupo dalali mmoja mzee wa makamo. Shukia Legho nenda na barabara inayopanda kwenye vibanda wanao choma kiti moto, ukifika kiwanda cha Tanica cha kahawa upande huo huo wa kulia utaona kibanda cha kushona viatu na genge ulizia dalali wa nyumba.
Anaitwa Mzee Shayo. Fasta utamuona, atakusaidia sana.
Noma sana.Ukifanikiwa naomba unijulishe nikupe hongera zako, na kama utaenda Mbeya unipe mrejesho wa hali uliyoikuta huko pia ,sijawahi kufika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mafundi bhana
TayariUpi huo ebu nirushie
Nilishakujibu mbona mkuu?Upi huo ebu nirushie
Nikumbjshe mzeyaNilishakujibu mbona mkuu?
Naenda alhamisi nitakaa kama siku 2,,,,,mbeya pazuri kiutafutaji,nimepapenda fursa zipo za kutosha.Noma sana.Ukifanikiwa naomba unijulishe nikupe hongera zako, na kama utaenda Mbeya unipe mrejesho wa hali uliyoikuta huko pia ,sijawahi kufika.
Naenda alhamisi nitakaa kama siku 2,,,,,mbeya pazuri kiutafutaji,nimepapenda fursa zipo za kutosha.Noma sana.Ukifanikiwa naomba unijulishe nikupe hongera zako, na kama utaenda Mbeya unipe mrejesho wa hali uliyoikuta huko pia ,sijawahi kufika.
Mbona chache hivyo au unacheki kwanza situation and then utaenda kuweka majeshi.?Naenda alhamisi nitakaa kama siku 2,,,,,mbeya pazuri kiutafutaji,nimepapenda fursa zipo za kutosha.
Amekutumia mawardat cheki meseji zake.Nikumbjshe mzeya
Nitaweka picha
Naenda kuchek tu[emoji23]Mbona chache hivyo au unacheki kwanza situation and then utaenda kuweka majeshi.?
We bana wee Iringa maisha magumuUkifika iringa nishtue
Ingekuwa habari ya mbususu ungepitia comment to commentNikumbjshe mzeya
🤣🤣🤣🤣 Nahitaji gheto na nahitaji kujua bei ta godoro la 6 kwa 5 meza ya plastic na viti viwiliIngekuwa habari ya mbususu ungepitia comment to comment
Inategemea unahitaji godoro la aina gani,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nahitaji gheto na nahitaji kujua bei ta godoro la 6 kwa 5 meza ya plastic na viti viwili