Ulianzaje kukaa gheto?


Soooooo inspirational
 
Hongera sana man... Me bado carpet tu then nitashare na vijana wengine... Sema usisahau sabufa na feni mkuu pambania san hizo mambo.
 
Nimeanza rasmi kukaa geto wiki mbili nyuma apo sahv nipo nasoma mtandaoni jinsi ya kupika vyakula tofauti tofauti maan mwanzo nilikuwa nakula kwa migahawa ila nmeona kunamaliza tu hela na chakula hakina ladha hivyo juzi mwisho wa mwez nimenunua gas ndogo nmeweka ndani na sufulia na vyombo vidogo kama sahani, vijiko, mwiko n.k vyakula pekee najua kupika ni wali na ugali tu[emoji1][emoji1]

NB;UKIISHI GETO ALAFU NI BACHELOR NA KUWALA KIMASIKHARA WAPANGAJI WAKIKE NI SUALA GUMU KULIEPUKA[emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…