Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Nashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
 
Attachments

  • IMG_20210829_212703_7.jpg
    IMG_20210829_212703_7.jpg
    38.5 KB · Views: 51
Nashukuru mishe zinaendelea nimehama single room nimechukua chumba na sebule nimeongeza sofa na tv na meza ya TV nalipia 50 kwa mwezi.
Sio kinyonge shemeji yenu akija anakula mayai ya kuku wa kienyeji tu.
Ila Badoo vitu vingi Sina niendelea kujipanga.
View attachment 1939615View attachment 1939614
Big up sana mkuu... Chumba sebule kwa 50 umewin sana hapo
 
alikuja akaniuliza nitamuoa lini maana tuna uchumba sugu toka Niko secondary mpaka leo. But uchumba unajulikana kwa wazazi.
Hahah dah kwel ume maintain penzi mkuu
 
Back
Top Bottom