Tariq Mimi
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 368
- 725
Tema mate chini mwana, umepoteaje kimaisha? Watu tumekuzidi umri na still tupo hm, kuna mzee kafia kwny nyumba ya urithi ya marehemu baba yake wakati huo na yeye alishajenga nyumba km5 hv...point yangu ni nn? Simaanishi ujibweteke kutoka hapo ulipo ila usikate tamaa ofcoz kpnd kizuri zaidi kujijenga ni ukiwa kwenu maana unakua huna majukumu mengi.... We dunduliza tu mdg mdg utachomoka mwanawakuu mimi nimemaliza chuo mwaka juzi (2019), kwa sasa nina miaka 29 nipo home bado, nimeangaika kutafuta kazi sijapata, nimesoma huu uzi nimeisi kama nimesha potea kwenye maisha, naombeni mbinu na mimi nichomoke hapa home nikapange wakuu??
Vijana vijanaView attachment 1712339
Endelea kupambana tyuuh, hongera kwa ulipofikia.Vijana vijanaView attachment 1712339
ShukranEndelea kupambana tyuuh, hongera kwa ulipofikia.
SawaMwambie mwenye nyumba apige rangi
Wewe kweli ni mpambanaji,story yako kuna kitu nimejifunzaBasi mwanaume nikafunga safari mpka kwao na usafiri wangu wa boda boda,mara ya kwanza kuniona walidhani syo mwanafunzi bali boda boda tu,dah sku hii siwezi kuikumbuka katika maisha yangu kwani nilizungukwa na famila ya watu kama 15 nikiwekwa kati but sababu mke wangu nlikuwa nampenda nkakubali mimba na kuelezea future yetu ukweni hope kwa jinsi nlivyokuwa naongea walitokea kunipenda mno hasa kwenye uchambuzi wa hoja na kuwajibu kwa ustaarabu japo kuwa walikuwa wananipump niongee pumba,mwisho wa siku naambiwa una malengo gani na mwanetu kidumu nkafunguka mbaba mkwe alitokea kunikubali mno mwisho wa siku akanambia mwanangu,kwa kazi hyo ya boda boda ni hatari ngoja tuone tutawasaidia vipi watoto zetu,nikaruhusiwa kuondoka nikiwa na furaha
Unaweza kikubwa jiamini kuwa unaweza,Hivi unaweza kuanza kupanga geto kwa mshahara wa 200,000 kwa mwezi? Kumbuka hapo huna kitu hata kimoja huna hata kijiko hunaaaa.
shukran mkuu wa kunipa moyo mzee, hali ngumu sana mtaani kakaTema mate chini mwana, umepoteaje kimaisha? Watu tumekuzidi umri na still tupo hm, kuna mzee kafia kwny nyumba ya urithi ya marehemu baba yake wakati huo na yeye alishajenga nyumba km5 hv...point yangu ni nn? Simaanishi ujibweteke kutoka hapo ulipo ila usikate tamaa ofcoz kpnd kizuri zaidi kujijenga ni ukiwa kwenu maana unakua huna majukumu mengi.... We dunduliza tu mdg mdg utachomoka mwana
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
kabla ya ushauri ningependa kwanza nijue kipato chako kwa mwezi n.kNataka niweke Tv ushauri WENU aina na inch GANI na king'amuzi cha dishi kipi kizuri?View attachment 1712394
Pesa hipoooo sema eneo ndo kama mlivyoonakabla ya ushauri ningependa kwanza nijue kipato chako kwa mwezi n.k