Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 May 20, 2021 #1 Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,593 188,808 May 20, 2021 #2 Wanandoa mnahitajika huku!
Hank_31 JF-Expert Member Dec 26, 2013 855 2,111 May 20, 2021 #3 Duuuu!! Naona hizi nyuzi za kuoa zimekua nyingi sana, Naona mama kalegeza mitaani.
Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 May 21, 2021 Thread starter #5 Rhz4567 said: mabachela tunautolea macho huu uzi Click to expand... Hahahaaa
Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 May 21, 2021 Thread starter #6 Rhz4567 said: Mabachela tunautolea macho huu uzi Click to expand... Naona wengi wamepotea