Ule upepo umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ule upepo umeishia wapi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Raia Fulani, Aug 4, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nadhani mnakumbuka mnamo mwaka juzi hivi enzi zile simu za watu zilijaa maujumbe ya ajabu ajabu kuanzia ya matusi hadi ya kitakatifu. Ule upepo sijui umeelekea wapi ama umerithiwa na jambo gani jipya. Sijui watu walikosa cha kufanya au ubunifu ulipaa chati wakati huo au gharama zilikuwa ndogo sana. Yani hata sikumbuki zilikuwaje. We unakumbuka yoyote?
   
Loading...