Ule upendo wa kweli bado upo?

Sr. Abigail; Sahau hiko kitu kabisa. Upendo ule almaarufu kama Upendo wa Agape haupo tena kabisa-sio kwa wanandoa tu bali hata kwa watu wa kawaida ambao hata hawajafungwa kwa viapo; pia hata kwa viongozi walioapa madhabahuni e.g. mapadre /watawa/wachungaji n.k. au mbele ya kadamnasi e.g. viongozi wa Kiserikali e.g. Wanajeshi n.k. au Siasa -Wabunge n.k. Woote hao kwa Ukweli halisi huwa wanaangalia maslahi binafsi zaidi. Mambo yakibuma au kuwa tofauti na matarajio yao huondoka au Hukengeuka.
 
Namba 5 hapo kwangu ndio huwa naona kipengele. 😅😅😅

Mimi ni muelewa sana lakini nina standards zangu ambazo huwa sipendi kuingiliwa au kupuuzwa
 
Eh! Golden chance never come twice. ila kuwa makini yasije yakakukuta kama ya daudi. kuona mtoto anaoga, dopamine ikapanda mpaka uvumilivu ukamshinda,
hahahah bado kidog miaka 17 hiv hakina hata simu nawaza nikisikia kimerudi kwao sijui itakuweje
 
Sawa mkuu
Ndio mambo yalipofikia Kwa Sasa😊
 
No No,kwani unazungumzia upendo wa agape???

Kwakweli nina muda sana kuona,ata mm nautafuta sana,kuna wimbo ameimba jamaa mmoja anaitwa ambwene mwasongwe unaitwa upendo wa kweli nadhani ndicho unazungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…