Ule upendo wa kweli bado upo?

Majeraha ya mtu mmoja hayafuti uwepo wa upendo duniani

Nyongeza kaka : watu tunapenda wapenzi wa watu period!
 
Naomba ufafanuzi kwenye nyongeza hapo. Kwamba watu wanapenda wapenzi wa watu, kivipi yaani? Maana maisha ya mahusiano ya kimapenzi yana siri nyingi sana πŸ˜…
Yaani una mpemda mtu kumbe ana mpenzi wake I mean ana mtu anae mpenda ambaye sio wewe

Kwahiyo umependa mpenzi wa mtu lazima ulie kilio cha mbwaaa
 
Yaani una mpemda mtu kumbe ana mpenzi wake I mean ana mtu anae mpenda ambaye sio wewe

Kwahiyo umependa mpenzi wa mtu lazima ulie kilio cha mbwaaa
Kwanini umpende mtu ambaye tayari ni mtu wa mwingine?
Kama ukisoma ile reply yangu niliyo ku-quote utanielewa.

Upendo wa kweli ni kujipenda mwenyewe. Haina sababu ya kulia kilio cha mbwa koko baada ya kuangukia kwenye upendo usio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…