Ule upendo wa kweli bado upo?

Tufanyeje Sasa..
Tuwe wahuni?
 
Angalau hata nikupe kijizawadi chochote au nikufanyie tendo lolote la ukarimu upate sehemu ya kuanzia huo uongo wako😁
Ahiii😄😄😄
So wewe kama wewe huamini kama unaweza kupendwa?
 
Wengine tunahofia kupoteza muda
Na ndio sababu pia siku hizi wapenzi wanapangiliwa
Unakuta mwanaume mmoja ana wanawake sita kuchungiza nani anafaa.
Mwisho ni kupotezeana muda
Problem ya wanawake wa sasa wana haraka , hizo haraka ndizo zinakuingiza majaribuni.

Muda ninao sema si miaka mitano, within miezi minne mpaka 6 utaziona tabia halisi au dalili za mtu wako. Ukiwa nae kwenye matatizo, wakati wa furaha, akiwa mbali au akiwa karibu.

FRom there utaamua wewe. Tatizo dada zetu mnaingia kwa wahuni mkihisi watabadilika, mtu akishafika 28yrs na kuendelea kumbadilisha is heavy work
 
Na upande wa wadada unadhani tutasemaje??
Mwanamke Hana haki ya kumpima mwanaume?
Tukioimana matokeo yakitoka huko chanya huku hasi itakuwaje
Yale Yale kupoteza muda
 
Mkuu,
Sasa hivi mtu atakupenda kw vile kuna kitu, una kitu, kipo anachokiona kwako, kikipotea tu na huo anaouita upendo unayeyuka. Watu wanaishi kimkakati sana nyakati hizi.
Huyo Espy_ asikudanganye, hata maana ya upendo tu haijui vizuri.
Hivi Espy_ bila Hela anaweza kupenda?
 
Wabwana wananitamani,

Tokea tangu zamani hujanipatia kitu,

Wabwana wananitamani,

Tokea tangu zamani hujanipatia,

Leo hii paka na wewe!!

Ooh dada mapenzi ya pesa dada ni ya sifa kweli kwa mbele ya wandugu na familie yote lkn mapenzi ya pesa si ya kweli dada


Ooh dada mapenzi ya pesa dada ni sifa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…