Ule umati wa Kariakoo

nasrimgambo

JF-Expert Member
Jan 10, 2017
1,858
2,348
Ule umati wa kariakoo ambao unatia hasira, maana kama unastress inachanganya sana kupigana vikumbo na kuminyana minyana na watu, huku jua kali na watu kusimama bila sababu na kuweka msongamano makelele ya watu na magari,

Serikali imeuona ni mdogo sana, imeamua kujenga upya soko la Kariakoo kwa ukubwa mara mbili zaidi ili huo msongamano na watu waongezeke mara mbili zaidi.

Bila kusahau treni ya mwendo kasi ikiisha watu wa mikoani watakuwa wanashukia karibu kabisa na kufika huko na kuongeza msongamano.

Kuna siku watu watakosa namna ya kupishana wote watakwama kwenye zile njia za Kariakoo
 
Ukikaa vibaya ushabambiwa😅😅,Yani hatari note usisimame kwa njia ukifany manunuz kwa mmachinga lasivyo utaomba ukopeshwe
 
Back
Top Bottom