Kwahiyo Huyu ni mhindi kafuata ubini wa Mama.
Je mkuu wa Chuo Cha Jeshi Monduli ana cheo gani mkuu?Second in command jeshini sasa hivi anaitwa Yacoub Mohamed. Ni luteni jenerali.
Kwa jina lake hilo, nadhani ni Muislamu.
Pia, nadhani huyu ndo atakuwa CDF pale Mabeyo atapostaafu.
Rais Samia akija kumteua huyu, watasema kateuliwa kwa sababu ni Muislamu mwenzake na Mama Samia.
You watch this space....
Mjadala ufungwe sasa,hii comment imemaliza kila kitu.Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Fatilia trend ya CDF kuanzia Alipokuwa promoted mpaka extension ya muda kwa Gen Mwamunyange, Usipo observe kitu apo mkuu basi tenaExactly.
Jeshini ndo alikuwa second in command.
Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.
Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.
Bullshit.
Haya bwashee mtoto wa Kaka yako huko Bandari wameshamvurumisha.Wajomba zake wanamtumia tu kutaka tuamini hakuna ukabila,na yeye anatii zaidi Ujombani maana ndiyo wamemuweka hapo. Hoja ya Ubin wala haina nguvu hapa.
Sahihi kabisa wanahisi wao ndo kila kitu wakae watulieWalituchukulia poa sana Makabila mengine,wakajiona wajanja wao kumbe kina Mramba walikuwa wanajichotea tu hazina kadri wapendavyo wanajenga Kilimanjaro. Sasa hivi tumeamka,hakuna tena janja janja kama zamani
Hujaelewa.Dah mkuu uzi wako.mbona malalamiko ya ukabila sanaa embu acha haya mambo tambua sote ni wa Tanzania na Nchi hii haiwezi kujengwa siku moja nq ikapata maendeleo ya kila kitu. Watapita watu tofauti tofauti wa makabila yetu haya 120
Nope. Wala siyo hivyo kama ulivyosadiki.Hapa umefeli mkuu Nyani Ngabu .. ni kusema kwamba yale maneno ya ukabila wa JPM yalikuwa yanakukera sana na unachotafuta sasahivi ni kujaribu kuwa prove watu wrong kwa alichokifanya Mabeyo.
Mimekuelewa ila sijapenda ku commwnt kwa mtazamo wako ww wala sijachagua upande nimesimama ktk.mezania ya katikati yaan nipo neutral ndio maana imekuwa ngumu ww kunielewaHujaelewa.
Bado hujaelewa.Mimekuelewa ila sijapenda ku commwnt kwa mtazamo wako ww wala sijachagua upande nimesimama ktk.mezania ya katikati yaan nipo neutral ndio maana imekuwa ngumu ww kunielewa
Ata ww bado hujanielewaBado hujaelewa.
Una uwakika.kipindi Afande CDF Mwamunyange anastaafu wapo walikua wanafatia kama Marehemu lt General Masao alistaili na alikua Commandant wa TMA na alikua mkubwa kwake.kuna lt General Mwakibolwa pia alikua mkubwa kwakeExactly.
Jeshini ndo alikuwa second in command.
Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.
Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.
Bullshit.
Wakubwa kiumri au?Una uwakika.kipindi Afande CDF Mwamunyange anastaafu wapo walikua wanafatia kama Marehemu lt General Masao alistaili na alikua Commandant wa TMA na alikua mkubwa kwake.kuna lt General Mwakibolwa pia alikua mkubwa kwake
Masenior kwa mabeo na ndo walistahili wawe CDFWakubwa kiumri au?
You just wait...Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
Ma senior kivipi?Masenior kwa mabeo na ndo walistahili wawe CDF