Ule ukabila vipi?

Hujaelewa.
 
Ile tu kuwa mfuasi wa mr belgiji ni kwamba akili hawana!

Kama waliweza kubadili gia enzi za lowasa itakuwa hili?

Mr Belgiji na yeye hajijui tu kwamba wamemfanya daraja la kupandia ili waende pale wanapopataka! Deep down hata yeye hana maana kwao.

Kwao haijalishi ni Chama kipi kiko madarakani,as long as maslahi yao yanalindwa hasa ya kushika nafasi nyeti hapa Nchini,hutowasikia kamwe wakitoa povu hapa. Inasikitisha sana lakini ndiyo ukweli wenyewe.
 

Lakini enzi za utukufu wa kina Basil Mramba,Yona,Mgonja,Kitillya ilikuwaga sawa kabisa kujaza kabila moja siyo?
 

Leo umeamua kufukua makaburi,ukiangalia Comments zao kwa hii Thread,ukaja kuangalia wanachocomment leo hii utadhani ni watu wawili tofauti kabisa.
 
Hii coment tusave mkuu!

Hawa belgiji lazima waje na lawama kama hizi yani ni lazima.
 
Exactly.

Jeshini ndo alikuwa second in command.

Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.

Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.

Bullshit.

..Mabeyo alikuwa junior kati ya wale senior officers.

..akawapewa promotion, na kutegeshwa kwenye nafasi ya CoS.

..Mwamunyange alipostaafu akawa promoted kuwa CDF.
 
..Mabeyo alikuwa junior kati ya wale senior officers.

..akawapewa promotion, na kutegeshwa kwenye nafasi ya CoS.

..Mwamunyange alipostaafu akawa promoted kuwa CDF.
Kwa hiyo ukabila ndo ulimfanya awe CDF? Hakuna factors zingine?

Halafu mimi na wewe tumebishana sana kuhusu hili....
 
Kwa hiyo ukabila ndo ulimfanya awe CDF? Hakuna factors zingine?

Halafu mimi na wewe tumebishana sana kuhusu hili....

..inawezekana alikuwa na sifa za kutosha sawa na wengine, ila kwake kabila likawa "sifa ya ziada" hivyo akaunyaka uteuzi.

..mimi nilianza kunusa ukabila nilivyoona ameteuliwa kuwa CoS, na Mwamunyange ameongezewa muda. Ni kama alikuwa ametegeshwa kuchukua nafasi hiyo.
 
Nimekuelewa vizuri sana. Wewe unachofanya ni upotoshaji kwamba watu walisema hivyo kwa kuangalia nafasi moja tu wakati waliangalia trend za teuzi.Wakati huo Waliangalia TRC, KM Hazina, Waziri Nishati,Waziri Mifugo, RC Dar , NW Ardhi, NW Madini
Hujaelewa.
 
Washamba sana awa jamaa.
Wana tabia za kike,tabia za umbeaumbea.
Kama kweli madai yao ya ukabila yangekuwa ni kweli Makonda asingebaki kwenye teuzi awamu hii,au Dr.Mashinji ana uwezo wa kuongoza wizara asingeachwa.
CDF angeonyesha ukabila kipindi hiki.

Ilifikia wakati hayati Magufuli akifanya teuzi wanauliza kabila gani.
Kama Msukuma basi ndo itakua ajenda ya mwezi.
Akiwa wa Kanda ya Ziwa hata kama sio msukuma,tayari utasikia"wa kanda pendwa" kama aliteuliwa ni Muhehe utasikia"kateua mtani wake"
Kama ni Mgogo. utasikia"kwasababu kaoa Msukuma"
Haya JPM keshazikwa,Wasukuma wapumue,duh!.
 
Kwanza unafahamu Mkapa na JK hawakuwa wachaga? Unafahamu Yona na Mgonja ni Wapare? Halafu unafahamu hapo unazungumzia Marais wawili(miaka 20 na sio 5)?
Mwisho ukabila ni pale mtu wa kabila moja anopofanya uteuzi mwingi kutoka kabila lake, sasa kwa hao ukabila unatoka wapi?
Lakini enzi za utukufu wa kina Basil Mramba,Yona,Mgonja,Kitillya ilikuwaga sawa kabisa kujaza kabila moja siyo?
 

..hiyo ni kawaida kutokea kwa kila raisi wa Tz.

..zamani kidogo kulikuwa na kabila hapa Tz likiitwa " wa kaskazini. "

..lawama za ukabila alizokuwa akitupiwa Jpm walishatupiwa watangulizi wake.
 
..hiyo ni kawaida kutokea kwa kila raisi wa Tz.

..zamani kidogo kulikuwa na kabila hapa Tz likiitwa " wa kaskazini. "

..lawama za ukabila alizokuwa akitupiwa Jpm walishatupiwa watangulizi wake.
Wenye kushindwa siasa za hoja uwa wanasifa ya kujitupa kwenye dini na ukabila ili kuficha kushindwa kwao.
 
Wenye kushindwa siasa za hoja uwa wanasifa ya kujitupa kwenye dini na ukabila ili kuficha kushindwa kwao.

..kwa muda mrefu waTz walizoeshwa kushambulia Wachaga na kabila jipya la " wa kaskazini. "

..Wachaga na "wa kaskazini" waligeuzwa kuwa ni maadui wa waTz wakiwekwa kundi moja na mabeberu, mafisadi, etc etc.

..Kama kuna chama kilikuwa kinaleta shida kwa watawala basi kiliitwa chama cha Wachaga na hiyo ilitosha kukichafua chama hicho na kikachukiwa na waTz.

..Katika awamu ya Jpm mashambulizi yaliwageukia Wasukuma. Labda ktk utawala wa Mama Samia Hassan mashambulizi yatawageukia Waznz.
 
Lile genge la kisukuma alilolianzisha porn master gwajima kwa msaada wa ikulu na makonda lipo sn kazini kuhakikisha sukuma empire haifi......

Mm nawaambia ifakufa kifo cha mende
 
Mag3 JokaKuu bado nasisitiza walishindwa hoja.
C.U.F waliitwa cha waislamu.
ACT chama cha waha.
Kila chama kilijitetea kwa fact mpaka kikavuka,kama wanavyojitetea kwa fact wasukuma wakati huu.

..hawakushindwa hoja, bali walichafuliwa kwa propaganda.

..chama chao kilipakaziwa kuwa ni mali ya Wachaga, wakati huohuo waTz walishafundishwa kwamba Wachaga ni watu wabaya.

..Kuna kipindi mtu mkubwa serikalini alitoa hotuba kuwaambia wananchi, " msiuze ardhi yenu kwa wachaga."

..Halafu kuna kijana mmoja mtoto wa mkubwa akajiapiza mbele ya wananchi kwamba Tz haitakuja kuongozwa na mtu kutoka kaskazini.
 
Wala hata sio Wachaga, naona na wewe unafanya generalization
Watu awamu hiyo ya Magufuli walifanya kama Tanzania kuna makabila mawili tu, Wachaga na Wasukuma
Wakati hizo accusations za ukabila zilikuwa zikitolewa na hata wasukuma wenyewe sometimes
 
Alipandishwa cheo haraka haraka? Hebu tuwekee timeline yake tuone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…