Ulaji wa Nguruwe wapigwa Marufuku

Ulaji wa Nguruwe wapigwa Marufuku

Someni hii naamini mtaielewa vizuri zaidi.
IMG-20170609-WA0003.jpg
 
Rekebisheni kichwa cha habari, sisi HATULI NGURUWE,. TUNAKULA NYAMA YA NGURUWE.
 
Hawezi kuzuia kirahisi hivyo...... Wameshindwa kudhibiti mauwaji kibiti ndio wataweza uchinjwaji wa nguruwe???
Sema hawa RC's hawaja hakikiwa vyeti..... IQ zao ndogo sana
 
Mimi sipangiwi cha kula. Naenda kuagiza kilo nzima sasa pale Toroka Uje bar, opposite na mjengo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom