Ulaji mwingine waja vyeti vya udereva

Ulaji mwingine waja vyeti vya udereva

Dah, Afande katuvuruga tena. Vyeti vinakaguliwa wapi sasa, ofisini au barabarani?? Ili uwe afande unatakiwa ufaulu wako uweje?
 
nina jamaa zangu watatu wako kitengo cha leseni, wana utajiri usiolingana na kazi zao, ukifika ofisini mwao yaani pesa za hongo zinamiminika hata bila kuomba.
Stika za nenda kwa usalama zina bei tofauti na unachoambiwa ulipe. Natamani ofisi za takukulu ziwe around na majengo ya hawa watu
 
Stika za nenda kwa usalama zina bei tofauti na unachoambiwa ulipe. Natamani ofisi za takukulu ziwe around na majengo ya hawa watu
juzi nashangaa naambiwa nilipie 10,000 ilhali bei ni 3,000
 
Pia haijakaa sawa ya kwenda kusoma miezi mitatu ili kupanda daraja, maana kama una daraja fulani la kuendesha chombo cha moto,manake unapotaka kuongeza manake unajua tayari kutumia chombo cha moto. Sasa kusema ukasome tena huko ni kupotezeana muda na kufanya mtu ashindwe kutekeleza majukumu yake na ya nchi kwa ujumla, maana sheria ni zilezile iwe chombo cha miguu miwili, mitatu nk,wahusika wa kusimamia haya wayaangalie.
 
Back
Top Bottom